Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

Sawa
Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli.
, endekee
Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli.
Furahi basi. Amebaki mjane. Umepata faida gani mbali na kufurahia kifo cha mumewe.
 
Aseee Siamini kama huyu Mwanamke ametunga anachoongeaa..ila kuna uwezekano mkubwa ni kweli. Ila tusisahau kuna Mungu.. Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu...
" Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu. "

Umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom