K komasalonde JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,783 Reaction score 2,479 Mar 8, 2025 #21 Sawa physician2023 said: Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli. Click to expand... , endekee physician2023 said: Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli. Click to expand... Furahi basi. Amebaki mjane. Umepata faida gani mbali na kufurahia kifo cha mumewe.
Sawa physician2023 said: Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli. Click to expand... , endekee physician2023 said: Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli. Click to expand... Furahi basi. Amebaki mjane. Umepata faida gani mbali na kufurahia kifo cha mumewe.
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Mar 8, 2025 #22 Craig said: Aseee Siamini kama huyu Mwanamke ametunga anachoongeaa..ila kuna uwezekano mkubwa ni kweli. Ila tusisahau kuna Mungu.. Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu... Click to expand... " Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu. " Umemaliza mkuu
Craig said: Aseee Siamini kama huyu Mwanamke ametunga anachoongeaa..ila kuna uwezekano mkubwa ni kweli. Ila tusisahau kuna Mungu.. Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu... Click to expand... " Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu. " Umemaliza mkuu
K komasalonde JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,783 Reaction score 2,479 Mar 8, 2025 #23 Mbona mimi ni ccm lakini naogopa damu za watu, au wewe ndiye muuaji na mafunzo yako ni kuua. physician2023 said: Ndugu huyo anayetoka saa nane za usiku,kwenda kufanya fujo,ni kosa kubwa hilo. Click to expand...
Mbona mimi ni ccm lakini naogopa damu za watu, au wewe ndiye muuaji na mafunzo yako ni kuua. physician2023 said: Ndugu huyo anayetoka saa nane za usiku,kwenda kufanya fujo,ni kosa kubwa hilo. Click to expand...