Hao waarabu mila zao haswa zinapingana na uislam.
Unajua mila haswa za waarabu!?
Tuanze kuzijadili na tuzifanananishe na uislam kama zinafanana!?
Kiarabu kuwa lugha ya kuwaunganisha waislam haimaanishi kuwa uislam ni uarabu.huwezi kutenganisha uislam na uarabu.
Hata lugha inayowaunganisha waja na mungu wao ni kiarabu. Hata majina ambayo mungu wao anawaita ni ya kiarabu. Ukija mavazi ambayo mungu wao anayoyaona ni ya stara ni ya kiarabu. Hapo hujagusa usanifu majengo, vyakula nk. Sasa napata shida kutenganisha hivi vitu viwili.
Usemalo ni sahihi kaka.Kosugi nashukuru kwa maelezo yanayopatanishwa na akili yangu. Inawezekana waarabu ni waasi wa uislam kama vile mayahudi yalivyomuasi Kristo na ukristo.
Kuunganisha Waumini kwa lugha fulani nalo ni lankuliangalia. Maana waamini wa imani moja inafaa waungaishwe na sheria moja au kitabu kimoja bila kujali lugha.
Usemalo ni sahihi kaka.
Uislam unamuomba Mungu kwa lugha yeyote ila kitabu cha muongozo/Qur'an na namna za ibada ni kwa lugha moja ili kuleta unification na upekee.
Hutoelewa, lile huwa ni jukumu la UN nchi ikitoa hulipwa, na deni siyo lazima lilipwe kwa,100%, UN inapata misaada na inafana alocation kwa kuangalia uhitaji uko wapi.Boss nishakutajia Amount ilioenda kule, ni dola milioni 20 na kitu tu nipigie hesabu inahudumia vipi hao wakimbizi?
Hii article ya UN wenyewe
Kiasi kilichotakiwa kiende ni 114M na kilichoenda ni asilimia 23 tu.
Pia for the sake of discussing assume UN wamelipa hela yote hio dola milioni 114 fanya hesabu rahisi
114M gawanya kwa 3.5M unapata hapo unapata 32 dollar.
So mkuu nipigie hesabu kumhudumia mkimbizi mwaka mzima kwa dola 32 unawezaje? Hio ni sawa na hela za madafu kama sh 200 kwa siku hata chapati hupati unamhudumiaje?
Iran inasomesha watoto wakimbizi 800,000 shule za Iran wanakaa na watoto wa Iran wanachanganyika, sio gharama za Kitoto mkuu.
We huelewi dhana nzima kuhusu ukimbizi.Toka vita vianze vya Afghanistan ni Iran na Pakistan ndio wanahifadhi wakimbizi wengi kuliko yoyote so hoja yako ya Transit haina mashiko. Wakati walioanzisha vita wanachukua elfu kadhaa hao kina Iran na Pakistan wana mamiliono ya Wakimbizi.
Pia no Amount of hela inaweza kusolve hilo tatizo, Tanzania tuna wakimbizi kama laki 2 tu na bado unasikia matatizo hapa na pale, tunaongelea wakimbizi in millions hapa, hao 3.5M ni official figure za UN ila wapo kibao ambao hawana permit inakadiriwa wanaweza fika milioni 6.
Kiasi alichopokea kama mwaka jana ni kama $26M hela ya karanga hii nipigie budget yake inalisha vipi watu milioni 3.5 kwa mwaka iwapeleke hospitali na mambo mengine.
Boss unaongea na watu wazima humu, kama nilivyokuekea data hapo Toka UN na wewe thibitisha kwamba hao wakimbizi wanahudiwa na UN tofauti na kiasi kilichoidhinishwa kwenye website ya UN.Hutoelewa, lile huwa ni jukumu la UN nchi ikitoa hulipwa, na deni siyo lazima lilipwe kwa,100%, UN inapata misaada na inafana alocation kwa kuangalia uhitaji uko wapi.
UN hazai wakimbizi, na haina uzalishaji, inategemea michango ya wanachama, na misaada.
Jukumu la kutoa huduma za wakimbizi ni lao.
Tanzania kila mwaka tunalalamika UN hawaleti pesa kwa wakati, lakini mgao tunapata, na misaada mingine inayolenga kuhudumia wakimbizi tunapata. Na nchi za ulaya na america pia huchukua share za wakimbizi kila,wanapoweza kufanya hivyo, ni uungwana tu siyo jukumu lao.
Kuna wakimbizi Dubai, na wanauwezo, lakini lazima watambulike kama ni wakimbizi, hata kama wanajihudumia.
Sijui huelewi nini au wapi, wakimbizi sio jukumu la nchi wanakokimbilia, bila kujali utajiri au umadikini wa nchi walikokimbilia. Wakimbizi ni jukumu la UN.Boss unaongea na watu wazima humu, kama nilivyokuekea data hapo Toka UN na wewe thibitisha kwamba hao wakimbizi wanahudiwa na UN tofauti na kiasi kilichoidhinishwa kwenye website ya UN.
Ushahidi upo wapi mkuu? Wenyewe UN wanasema walitakiwa wapeleke 114M na iliopelekwa ni 23% tu, hata wakipeleka yote hio 114M ni shilingi 200 tu ya kitanzania kila mkimbizi.Sijui huelewi nini au wapi, wakimbizi sio jukumu la nchi wanakokimbilia, bila kujali utajiri au umadikini wa nchi walikokimbilia. Wakimbizi ni jukumu la UN.
Hata kama taifa waliko wakimbizi halina pesa, lazima watapata huduma zote za msingi.