You,,,,,Underrated devil worshiper ,Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.
MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.
Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.
Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.
Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?
View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.
MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.
Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.
Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.
Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote
Kuisema kanisa katoliki kwa ubaya ni kunitukana secretarybird mtaalamu wa nota na mwalimu wa kwaya wa zamani.Itakuwa katoliki umeijua Leo, pole kobaz secretarybird
Mimi nimemuona che guevara.Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?
View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.
MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.
Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.
Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.
Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
Kumbe wewe sio mfuasi na kina Faiza?Kuisema kanisa katoliki kwa ubaya ni kunitukana secretarybird mtaalamu wa nota na mwalimu wa kwaya wa zamani.
Tanzania nzima hakuna mtu mwenye ujuzi wa kuichezea chetezo na kuifanaya itoe mlio mzuri sana na WA kipekee.
Pia nilikuwa mtumimizi mtiifu kwelikweli, nilikuwa na uwezo wa kuwasha mishumaa kwa kutumia kiberiti ya njiti hata kama Kuna upepo mkali. Yaani hata ukiniambia niwashe mshumaa nikiwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro kwenye upepo mkali sipati shida kuiwasha.
Kanisa katoliki ukilitukana jua kwamba umenitukana, yaani umenivua nguo zote.
Pale Katoliki nimehudumu katika ngazi mbalimbali na ninaheshimika si mchezo ijapokuwa sina jadi ya kumbagua au kumpendelea binadamu kisa dini yake.Kumbe wewe sio mfuasi na kina Faiza?
Haya tuma salamu kwa watu watatu 🎤Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?
View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.
MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.
Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.
Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.
Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
🤝🤝🤝Weka imani yako katika Mungu na siyo dini au imani flani.