tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
- Thread starter
- #121
Afadhali wewe umeona mkuu. Waacheni hao wapuuzi wanaonipinga waendelee kukamuliwa sadaka kwa manufaa ya wajanja wachache. Nakwambia kwamba katika makanisa haya kuna makundi mawili ya waumini:Uko sahihi mkuu. Pesa za miradi hiyo inasaidia nn ktk parokia husika? Sisi Parokian kwetu tulichanga kaya kwa kaya kujenga shule ya Parokia. Tukiambiwa n mradi mzuri utasaidia kupunguza michango kwetu na kusaidia baadhi ya kaya maskini walau kila jumuiya mtoto mmoja kusoma bure.
Shule imekwisha inafanya vzr na inawanafunz wengi, michango ipo pale pale; ujenzi hata wa kibanda cha mlinzi tulichanga. Ama matengenezo ya magari ya parokia ni budget toka ktk sadaka. Mpaka leo hatupewi taarifa ya pesa ya shule inatumikaje.
1. Wajanja wachache wanaonufaika na sadaka na rasilimali nyingine za kanisa.
2. Makupuku na vilaza walio wengi wanaokamuliwa sadaka na michango kila kukicha bila kujitambua wala kushtuka.