Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 734
- 2,272
Kuna mtu amekutuma kwenda kwa mwamposa?Mkuu umemaliza kila kitu. Dini ni mfumo wa wizi na ukoloni. Mwamposa anatukamua sadaka kwa ajili ya kufanyia kazi ya Mungu badala yake anaenda kujengea hoteli inayomuingizia mapato binafsi. Dini ni mfumo fulani wa wizi kama ilivyo kwenye mfumo wa serikali na chama cha CCM. Wizi mtupu!
Wewe na akili zako timamu ulifuata nini huko?
Ulishikiwa bunduki?
Acha ujinga na utoto