Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Dini hizi. Jamaa yangu mmoja ameniambia anadaiwa laki 3 huko kanisani kwao nae hana hata elfu kumi
Dini imekua unyang'anyi
 
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?

View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.

MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.

Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.

Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.

Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.

Ila wewe ni mwongo. Hakuna hela inayochangwa na waumini wa kanisa katoliki kwenda Roma.
 
Ni upotofu wako tu. Kanisa Katoliki lina maelfu kwa maelfu ya shule, vyuo, vyuo vikuu, mahospitali, nyumba za yatima, wazee, mabenki, na mengine tele tele. Huwezi kamwe kufananisha Katoliki na Mwamposa labda uwe mwehu!
 
Tuwekee sura ya Yesu. Hivi kweli kuna anayeijua sura ya Yesu?
 
Wewe sio mkatoliki ACHA uhuni, Ndio Kuna mapungufu lakini huja tuonesha hapa. Pia hakuna taasisi nayoendeshwa Kwa mawe pesa ni lazima itumike sadaka na michango IPO na itaendelea
 
Weka imani yako katika Mungu na siyo dini au imani flani.

Angalia watumishi wakubwa wa kale waliishije kama Ibrahim, Yakobo, Daniel, Yusufu, Ayubu na Yesu kisha na wewe fuata nyayo zao.

Ukimuondoa labda Daniel na Yesu hakuna ambaye alikuwa na dini bali walikuwa na imani ya Mungu na walimuabudu kwa namna sahihi isiyo na walakini ndani yake.

Kwenye hizi dini kuna mambo ukiuafuatilia kwa kina unaona ni ukoloni, mila na desturi au upagani wa wajanja flani walioamua kurasimisha mambo yao kwa mgongo wa dini.

Kila dini ina mazingira yanayoleta maswali mengi yenye majibu ya walakini.
Mkuu umemaliza kila kitu. Dini ni mfumo wa wizi na ukoloni. Mwamposa anatukamua sadaka kwa ajili ya kufanyia kazi ya Mungu badala yake anaenda kujengea hoteli inayomuingizia mapato binafsi. Dini ni mfumo fulani wa wizi kama ilivyo kwenye mfumo wa serikali na chama cha CCM. Wizi mtupu!
 
Wewe sio mkatoliki ACHA uhuni, Ndio Kuna mapungufu lakini huja tuonesha hapa. Pia hakuna taasisi nayoendeshwa Kwa mawe pesa ni lazima itumike sadaka na michango IPO na itaendelea
Ndio maana mm nimeshtuka mapema mkuu. Siwezi kukamuliwa sadaka kisha zinatumwa Roma kwa wazungu huku mm nikiendelea kufa njaa. Sitakubali kamwe.
 
Ni upotofu wako tu. Kanisa Katoliki lina maelfu kwa maelfu ya shule, vyuo, vyuo vikuu, mahospitali, nyumba za yatima, wazee, mabenki, na mengine tele tele. Huwezi kamwe kufananisha Katoliki na Mwamposa labda uwe mwehu!
Hayo mashule, hospitali na vyuo watu wanasoma na kutibiwa bure mkuu? Na je pesa wanazotuma Roma kwa mabeberu zina manufaa gani kwa watoa sadaka? Think twice mkuu. Otherwise utaendelea kukamuliwa hadi Yesu wa kweli atakaporudi.
 
Tatizo hamtaki kuamini kuwa Mungu hajawahi kuwepo kwenye madhehebu.
Yesi alikuja akapinhana na madhehebu ya wakati huo,masadukayo ,waandishi na mafarisayo.

Kwa sababu

Mathayo 15:8-9
[8]Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.

[9]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.
n.
Mkuu asante sana kwa kuzidi kutufumbua macho. Tumeibiwa sana na hawa wahuni wanaojiita watumishi wa Mungu.
 
Hahhahaaa yesu ajawai kuoneka miaka hiii yakalibuni wao picha wameitoa wapi cjui alafu nakibonzo wame weka
 
Kanisa la RC kiukweli michango imekuwa mingi sanaaaaa, yaani wanaita majina mengi mnoooo yote ni michango tupu, yaani ukihesabu RC wanakusanya michango sanaaaa kwa kuweka majina mengi tofauti tofauti na wanaweka kabisa utoe kiasi gani, yaani kila Jumuia inatakiwa itoe kiasi gani, yaani michango ni mingi mnooo ni kama vile tunalipishwa fedha sana, kheri mara mia kodi za Serikali kuliko michango ya RC..!!

Kwa upande wa michango, RC aisee wamekuwa kama makanisq mengine, zamani ilikuwa nafuu, siku hizi ni hatari, RC ni kama makanisa mengine hayo ya mchongo tu, wanaangalia fedha tu
 
So what's the point? Kwa hiyo makosa kdg ya uchapaji ndiyo point yako ya universal catholic church? Kwamba picha iliyochapishwa kimakosa inaondoa na kufanya Mass Liturgy batili? Seven sacraments, Holy communion, sacrament of repentance, ubatizo na mafundisho ya imani na makuzi, elimu na huduma za kijamii, jumuiya ndogondogo na kuhimizwa upendo, imani na matumaini, mashirika ya kitume kama wafaransisko, wakapuchini, maronite monks wanaoishi maisha ya upweke na nadhiri za umasikini na kujitoa kwa ajili ya kazi za Mungu,mapadre, walei, waumini nk. Vyote hivyo vimebatilishwa na hiyl picha iliyochapishwa kimakosa? Is that your point?
 
Picha inaonesha sura ya Yesu wa mchongo. Au wewe unaijua huyo ndiye sura ya Yesu halisi mkuu?
Siijui lakini miaka yote, si ndio wamekuwa wakiishi kwa kuamini huyo ndio yesu. Hata pasaka lile sanamu la kusurubiwa si huwa wanaweka picha ya yesu huyo wa mchongo, ukiingia kanisani picha yesu wa mchongo ma bikra maria wa mchongo huwezi zikosa..
Miaka na miaka hao katoliki huwa wanatumia picha ya yesu wa mchongo, ukienda kanisnai kama sio sanamu basi hata picha ya hivyo ukutani utaikuta.
 
Back
Top Bottom