Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Kwamba picha iliyochapishwa kimakosa inaondoa na kufanya Mass Liturgy batili?
Imechapishwa kimakosa eeh? Na zile picha huyo "Yesu" aliyechapishwa "kimakosa" hujawahi kuziona kwenye makanisa katoliki huko maparokiani? Kama wewe sio mkatoliki huwezi kuelewa kitu mkuu. Hebu tembelea huko maparokiani uone picha za "Yesu" na "bikra Maria" zilivyotapakaa. Halafu urudi hapa kutuambia kama hayo ni makosa au la.
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume??.hao katoliki walikulazimisha uamini wao au wewe ndo ulijilazmisha kuwaamini wao??.
Hili sio swali mkuu. Hebu uliza swali kwa hoja bila mihemko.
 
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?

View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.

MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.

Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.

Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.

Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
Kabla hali haijawa mbaya zaidi. Nenda kumuone daktari
 
Na

Naona umejitahidi kupiga kelele sana lakini nakuuliza swali maswali mawili tu
1. Hicho kitenge kinauzwa kanisani?
2.Je huyu mtu aliyechorwa umewahi kumwona mahali poppte duniani?
Majibu:
1. Vitenge hivyo vinauzwa sana makanisani na maparokiani kila mwaka.
2. Huyo mtu aliyechorwa ni Brian Deacon, aliyeigiza filamu ya Yesu.
 
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?

View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.

MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.

Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.

Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.

Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
Michango, mchongo!Toa ndugu,toa ndugu ulicho nacho, Mungu atakuona mpaka Rohoni mwako!
 
Una hoja dhaifu sana, bado shule za msingi zipo, kwanini usianze kusoma?
 
Ila wewe ni mwongo. Hakuna hela inayochangwa na waumini wa kanisa katoliki kwenda Roma.
Hela zinazotumwa Roma kila kukicha zinatoka wapi mkuu? Je, mapadre na makadinari wa Rome wanakula nini?
 
Kanisa la RC kiukweli michango imekuwa mingi sanaaaaa, yaani wanaita majina mengi mnoooo yote ni michango tupu, yaani ukihesabu RC wanakusanya michango sanaaaa kwa kuweka majina mengi tofauti tofauti na wanaweka kabisa utoe kiasi gani, yaani kila Jumuia inatakiwa itoe kiasi gani, yaani michango ni mingi mnooo ni kama vile tunalipishwa fedha sana, kheri mara mia kodi za Serikali kuliko michango ya RC..!!

Kwa upande wa michango, RC aisee wamekuwa kama makanisq mengine, zamani ilikuwa nafuu, siku hizi ni hatari, RC ni kama makanisa mengine hayo ya mchongo tu, wanaangalia fedha tu
Asante kwa kutuongezea nondo mkuu. Kwa kweli hili kanisa sasa linakoelekea siko. Mungu awasaidie warudi kwenye mstari.
 
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nilikutana na kipande hiki cha kitenge kikiwa kimevaliwa na mkatoliki mmoja hadharani bila wasiwasi. Tazama walivyochemeka picha ya "Yesu" katikati ya maandishi. Mwenye macho haambiwi tazama. Jamani eti huyu ndiye Yesu?

View attachment 3389578
Nimeshangaa sana kuona kanisa katoliki nalo limejaa matapeli kama walivyo akina Mwamposa, Kuhani Musa, GeoDavie, Mzee wa Upako, Kiboko ya Wachawi na matapeli wengine waliotapakaa hapa nchini Tanganyika.

MAONI YANGU
Nilidhani kanisa katoliki ndilo kanisa la kweli ambamo makanisa mengine ya mchongo kama Anglikana, KKKT, Assemblies, Maranatha, Orthodox n.k yamechipuka, lakini sasa naamini kanisa hili nalo ni wapigaji tu kama akina Mwamposa.

Pia nimeamini mafundisho mengi kutoka kwenye biblia yanatumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi, wakiwemo pia mapadri wa kanisa katolliki. Kwa mfano, siku zote tunasisitizwa kutoa sadaka na fungu la kumi kwa ajili ya kuinua kazi ya Mungu kumbe pesa hizo zinatumika kuinuua matumbo ya wajanja wachache wanaojiita viongozi wa makanisa.

Mfano halisi ni namna ambavo Mwamposa alipiga hela za sadaka akaenda kujengea hoteli ya nyota tano, ambayo ni mali yake binafsi na mapato yote yanayotokana na hoteli ile yanatumika kumnufaisha yeye na familia yake tu. Hii ndio kazi ya "Mungu" ambayo siku zote tunahimizwa kutoa sadaka kwa ajili hiyo ilhali mapato ya sadaka yanaenda kuinua uchumi wa watu binafsi.Kama sadaka zingetumika kujenga sunagogi hapo kweli zingekuwa zimefanya kazi ya Mungu. Kinyume na hapo, zimetumika kujenga uchumi wa MunguMtu.

Haya ndiyo mambo ambayo kanisa katoliki nalo linatufanyia. Kila mwaka tunachangishwa mamilioni ya michango na kukamuliwa sadaka na mafungu ya kumi lakini mwisho wa siku fedha zote hutumwa kwenda Roma, Italia kuwanufaisha wazungu huku watoaji sadaka wakiambulia patupu. Huu ni uhuni unaopaswa kukemewa na kila mtu anayewatakia mema sio tu watanganyika bali waafrika wote kwa ujumla. Utumwa huu wa kiimani ifike wakati ukomeshwe kwa nguvu zote.
Wewe jamaa jau sana, unauliza picha ya yesu, wewe unaifahamu picha yake halisi?
 
Hiyo picha waliyoonyesha hapo ni ya Brian Deacon, aliyeigiza filamu ya Yesu. Wewe unajua kuwa huyo ndiye Yesu mkuu?
 
Hiyo picha waliyoonyesh hapo ni ya Brian Deacon, aliyeigiza filamu ya Yesu. Wewe unajua kuwa huyo ndiye Yesu mkuu?
HAPANA, hakuna kiumbe aliyewahi kuwepo kwenye hii dunia anaitwa yesu mkuu. Ndivyo ninavyojua
 
Tunasoma uzi wako; tukimaliza tunaenda kwenye Kanisa letu Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
 
HAPANA, hakuna kiumbe aliyewahi kuwepo kwenye hii dunia anaitwa yesu mkuu. Ndivyo ninavyojua
Kwa hiyo unataka kusema Yesu hayupo na wala hajawahi kuwepo mkuu? Je, Muhamad yeye amewahi kuwepo?
 
Imechapishwa kimakosa eeh? Na zile picha huyo "Yesu" aliyechapishwa "kimakosa" hujawahi kuziona kwenye makanisa katoliki huko maparokiani? Kama wewe sio mkatoliki huwezi kuelewa kitu mkuu. Hebu tembelea huko maparokiani uone picha za "Yesu" na "bikra Maria" zilivyotapakaa. Halafu urudi hapa kutuambia kama hayo ni makosa au la.
Kwamba kuwa na picha ya Yesu haifai au shida iko wapi? Kwamba kuwa na picha za Bikra Maria haifai? Yesu myahudi aliishi miaka 2000 tu iliyopita kwamba ni vigumu kupata taswira yake? Dinasaurs walioishi miaka milioni 200 iliyopita wanafahamika ila myahudi aliyeishi miaka 2000 iliyopita asifahamike? Acheni utani
 
Back
Top Bottom