Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Dini hizi. Jamaa yangu mmoja ameniambia anadaiwa laki 3 huko kanisani kwao nae hana hata elfu kumi
Dini imekua unyang'anyi
 

Ila wewe ni mwongo. Hakuna hela inayochangwa na waumini wa kanisa katoliki kwenda Roma.
 
Ni upotofu wako tu. Kanisa Katoliki lina maelfu kwa maelfu ya shule, vyuo, vyuo vikuu, mahospitali, nyumba za yatima, wazee, mabenki, na mengine tele tele. Huwezi kamwe kufananisha Katoliki na Mwamposa labda uwe mwehu!
 
Tuwekee sura ya Yesu. Hivi kweli kuna anayeijua sura ya Yesu?
 
Wewe sio mkatoliki ACHA uhuni, Ndio Kuna mapungufu lakini huja tuonesha hapa. Pia hakuna taasisi nayoendeshwa Kwa mawe pesa ni lazima itumike sadaka na michango IPO na itaendelea
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Dini ni mfumo wa wizi na ukoloni. Mwamposa anatukamua sadaka kwa ajili ya kufanyia kazi ya Mungu badala yake anaenda kujengea hoteli inayomuingizia mapato binafsi. Dini ni mfumo fulani wa wizi kama ilivyo kwenye mfumo wa serikali na chama cha CCM. Wizi mtupu!
 
Wewe sio mkatoliki ACHA uhuni, Ndio Kuna mapungufu lakini huja tuonesha hapa. Pia hakuna taasisi nayoendeshwa Kwa mawe pesa ni lazima itumike sadaka na michango IPO na itaendelea
Ndio maana mm nimeshtuka mapema mkuu. Siwezi kukamuliwa sadaka kisha zinatumwa Roma kwa wazungu huku mm nikiendelea kufa njaa. Sitakubali kamwe.
 
Ni upotofu wako tu. Kanisa Katoliki lina maelfu kwa maelfu ya shule, vyuo, vyuo vikuu, mahospitali, nyumba za yatima, wazee, mabenki, na mengine tele tele. Huwezi kamwe kufananisha Katoliki na Mwamposa labda uwe mwehu!
Hayo mashule, hospitali na vyuo watu wanasoma na kutibiwa bure mkuu? Na je pesa wanazotuma Roma kwa mabeberu zina manufaa gani kwa watoa sadaka? Think twice mkuu. Otherwise utaendelea kukamuliwa hadi Yesu wa kweli atakaporudi.
 
Mkuu asante sana kwa kuzidi kutufumbua macho. Tumeibiwa sana na hawa wahuni wanaojiita watumishi wa Mungu.
 
Hahhahaaa yesu ajawai kuoneka miaka hiii yakalibuni wao picha wameitoa wapi cjui alafu nakibonzo wame weka
 
Kanisa la RC kiukweli michango imekuwa mingi sanaaaaa, yaani wanaita majina mengi mnoooo yote ni michango tupu, yaani ukihesabu RC wanakusanya michango sanaaaa kwa kuweka majina mengi tofauti tofauti na wanaweka kabisa utoe kiasi gani, yaani kila Jumuia inatakiwa itoe kiasi gani, yaani michango ni mingi mnooo ni kama vile tunalipishwa fedha sana, kheri mara mia kodi za Serikali kuliko michango ya RC..!!

Kwa upande wa michango, RC aisee wamekuwa kama makanisq mengine, zamani ilikuwa nafuu, siku hizi ni hatari, RC ni kama makanisa mengine hayo ya mchongo tu, wanaangalia fedha tu
 
So what's the point? Kwa hiyo makosa kdg ya uchapaji ndiyo point yako ya universal catholic church? Kwamba picha iliyochapishwa kimakosa inaondoa na kufanya Mass Liturgy batili? Seven sacraments, Holy communion, sacrament of repentance, ubatizo na mafundisho ya imani na makuzi, elimu na huduma za kijamii, jumuiya ndogondogo na kuhimizwa upendo, imani na matumaini, mashirika ya kitume kama wafaransisko, wakapuchini, maronite monks wanaoishi maisha ya upweke na nadhiri za umasikini na kujitoa kwa ajili ya kazi za Mungu,mapadre, walei, waumini nk. Vyote hivyo vimebatilishwa na hiyl picha iliyochapishwa kimakosa? Is that your point?
 
Picha inaonesha sura ya Yesu wa mchongo. Au wewe unaijua huyo ndiye sura ya Yesu halisi mkuu?
Siijui lakini miaka yote, si ndio wamekuwa wakiishi kwa kuamini huyo ndio yesu. Hata pasaka lile sanamu la kusurubiwa si huwa wanaweka picha ya yesu huyo wa mchongo, ukiingia kanisani picha yesu wa mchongo ma bikra maria wa mchongo huwezi zikosa..
Miaka na miaka hao katoliki huwa wanatumia picha ya yesu wa mchongo, ukienda kanisnai kama sio sanamu basi hata picha ya hivyo ukutani utaikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…