Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Afadhali wewe umeona mkuu. Waacheni hao wapuuzi wanaonipinga waendelee kukamuliwa sadaka kwa manufaa ya wajanja wachache. Nakwambia kwamba katika makanisa haya kuna makundi mawili ya waumini:

1. Wajanja wachache wanaonufaika na sadaka na rasilimali nyingine za kanisa.
2. Makupuku na vilaza walio wengi wanaokamuliwa sadaka na michango kila kukicha bila kujitambua wala kushtuka.
 
Makanisani na misikitini kumejaa wahuni na wajanja usipokuwa makini utaibiwa hadi Yesu wa kweli atakaporudi mkuu. Kuwa makini na utapeli unaoendelea kwenye nyumba za ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…