Inasikitisha; Kijana ajiua baada ya kukosa ajira Jeshini

Inasikitisha; Kijana ajiua baada ya kukosa ajira Jeshini

Muda wa kuungana pamoja bila shaka unakaribia. Dalili za mvua ni mawingu.
 
Hii ishu inahitaji suluhisho serious sana na si tu kusema mkajiajiri.
 
Usikute dogo alishaonga pesa kibao kwa sajenti au MP ili akimaliza JKT aunganishwe mabaka, mambo yakawa kinyume chake.

Haya ni matokeo ya kayafa kubana ajira utafikiri nchi hii ni ya ukoo wake.
 
Kijana huyo mkazi wa jiji la Mwanza ilemela amejinyonga kwa msongo wa mawazo baada ya kumaliza mkataba wa kulitumikia jeshi la kujenga taifa 'na kukosa ajira kwa miaka 3 kupitia kambi ya msange tabora na mgulali dares salam 'na kuchukua uamuzi wa kujinyonga tazama mkasa mzima kwenye video hapo chini kwa hisani ya millard ayo.
Serikali iwaajiri vijana wetu.

Imeacha kuajiri kwa sababu za kitoto sana.
 
Itoshe tu kusema kumsifia Mzee baba ni ujinga ulio kithiri kuna mambo yanakatisha tamaa mno
 
Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021...
Huyu dogo atakuwa mwehu
 
Tatizo la Mtanzania huwa hamfikirii mwenzake baada ya yeye kupata ulaji tumekuwa wabinafsi sana. Bungeni kutwa kumsifia Rais, Spika, Naibu Spika kisha anamalizia na familia yake hakumbukuki hata watanzania walio muweka pale alipo..
Katiba yetu mbovu
 
Pamoja na kwamba marehemu huwa hasemwi vibaya nathubutu kusema kwamba huyu bwana amekosea kwa kitendo Cha kuamua kuchukua maisha yake kwa sababu zifuatazo:-

1) Kwanza kabisa unapoenda kujitolea jeshini huwa unaambiwa kabisa kwamba kujitolea hapa sio guarantee kwamba ni lazima utaajiriwa.. hivyo huyu ndugu ilitakiwa aundae moyo kwa lolote mapema zaidi.

2) Kama ameshindwa kuvumilia maisha ya mtaani kwa nchi hii isiyo na vita tena ya amani.. swali fikirishi Je, angeweza vumilia maisha ya vitani kweli?

Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021.

Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam...
 
Kijana mdogo sana kujifanyia ukatili wa hivyo, Mbona alikua na nafasi nzuri tu za kujiendeleza zaidi ya hapo jeshini? Hapa tatizo alikua mafunzoni akiwa na matarajio ya kupata ajira jeshini jamboa ambalo halijatokea.

Kwayo aliona suluhuhisho la kupata ajira ni kujinyonga, Je ambao hawakusoma na hawana maarifa yoyote kabisa na wako mtaani wangekua na maamuzi kama ya huyo mjeshi ingekuaje? Uvumilivu ulimshinda.
 
Pamoja na kwamba marehemu huwa hasemwi vibaya nathubutu kusema kwamba huyu bwana amekosea kwa kitendo Cha kuamua kuchukua maisha yake kwa sababu zifuatazo:
Nikadhani umeuliza je maisha ya kuzimu atayaweza? kama ya Tanzania nchi ya amani yamemshinda.
 
Ukimkosa Yesu katika maisha yako, shetani atakuchezea kama anavyotaka, na kisha hatimaye atakuchukua jumla.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
 
Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021.

Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam.

Huko ndiko alichukua maamuzi ya kukatisha uhai wake.

Mungu awatie nguvu familia yake,AMENI.

Serikali isipo ona haja/umuhimu wa kubadili mtaara basi tutarajie vijana wengi kufanya maamuzi ya kusikitisha na ya kuogofya mno kadri siku zinavyoendelea.

Elimu yetu tangu msingi ina mset kijana kusoma na kuajiriwa.

Na si kujiajiri,mwisho kwa uchache wa ajira inapelekea msongo wa mawazo na matatizo lukuki.

Na ukikuta kijana kajiajiri basi tegemea mambo mawili.

Mosi hakufaulu kuendelea na masomo.

Pili kamaliza elimu ya juu ila kasota sana kutafuta ajira bila mafanikio.

Nimefikiria huyu ni kijana wa kidato cha nne tu, je Ma graduates toka jalalani na kwingineko hali yao ikoje, too sad.

Hapa mimi sina ajira na mke wangu soon atajifungua,natarajia Mwanangu akianza masomo 2027-2040 A-Level atapita kwenye mtaala kama ule ule alopita baba yake.

Hali inasikitisha.

Heri walau A-level zote zigeuzwe technical school, angalau kijana akitoka advance akajiajiri mwenyewe.

Nawaza kwa sauti, nimesikitishwa mno.

" Vijana Mjiajiri "
 
Viongozi hawawezi wazia shida za mtu wakati wao na familia zao wana kila kitu, ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa vijana wote duniani
 
Mwingine huyo tena kafanikiwa kuitoroka awamu ya tano

Chovyachovya humaliza buyu la asali
 
Ukimkosa Yesu katika maisha yako, shetani atakuchezea kama anavyotaka, na kisha hatimaye atakuchukua jumla.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
Hapo hakuna ukweli, Africa ndio tunasali sana ila tuko nyuma kwenye maendeleo, China,Japani,singapore,southkorea nk, huko hakuna Ukristo wala uisilam ila wameendelea. Hizi dini ndio zimelidumaza bara la Africa, watu wakipatwa na tatizo badala ya kufikiri namna ya kulitatua, wanakimbilia huko, nakusema tumemwachia yeye atajibu, wao hawachukui hatua. tuingize akili zetu kazini.
 
Kwani China , Japan hawajinyongi? Swala lililopo hapa ni ishu ya mtu kujitoa uhai wake. Sio ishu ya kuendelea ama kutokuendelea. Kwa taarifa yako, Mtu kujitoa uhai wake ni ishu ya kiroho.

NJOO KWA YESU UOKOLEWE.
 
Hatujawahi kupata mtu anayewaza/ kujua namna ya kutengeneza ajira ktk hii nchi, karibia wote ni waajiriwa hawana exposure wala experience ya kutengeneza ajira, ni kweli Nchi ni tajiri, ila ajira zinazalishwa hivyo lazima tupate watu wenye huo ujuzi wa kuzizalisha.
 
Back
Top Bottom