Inasikitisha; Kijana ajiua baada ya kukosa ajira Jeshini

Mnahakikishaje sababu ya kujiua ni kukosa ajira?

Au hata kwamba kajiua?
 
Kwanini kakosa nawakati SGA mbezi wanahitaji hao waliopitia mafunzo.
 
Wanasheria tutapata wapi?
 
R.I.P kwake
 
Usiombe kufa ukiwa hai....Tulio pitia misoto tunaelewa......

Hichi kipande kimeni touch sanaa......

Nanukuu

"Huyo kijana alikuwa na miaka 28 bila shaka ni umri wa kuwa na familia na kusettle halafu ghafla bi vuu hakuna ajira maana arudi upya kabisa mtaani aanze upya kabisa kupambana.

Miaka 3 kapoteza bure kabisa !! Mafunzo aliyoyapata huko ni bure kabisa !! Kachukua maamuzi MAGUMU ila ukijaribu kuvaa viatu vyake HAVITOSHI KABISA"

Itoshe kusema usiombe kuvaa viatu vyake

Kuna bwana mdogo mmoja nae amerudishwa home alaf yeye ndio tegemezi....

Kaniomba nimsaidie kibarua chochote sio siri inanibid nimpambanie asije anafanya Kama huyu dogo
R.ip kwake
 
Maisha haya bwn , by the kichwa ndio serikali ya mtu nakumbuka 2010 kuna jamaa alipita kabisa usaili wa tpdf kufika kikosi cha mafunzo kipindi hicho makutupora basi usaili wa vipimo ukafanyika tena wakati huko walipotoka walishafanyiwa usaili wa vipimo kumbe kuna watu walipangwa kupunguzwa kwa style hiyo mchizi Wang nae alikuwemo katika watu waliotemwa coz walitemwa kama 50 hv kwa kuambiwa wanamatatizo tofautitifauti ya kiafya jamaa aliumia sn coz alishakaa jkt miaka miwili pia usaili wote alishamaliza walikuwa wanasubiri kuanza mafunzo tu, alijipa moyo kuwa kuna Maisha mbali na jeshi japo alikuwa akiipenda sn, alirudi mtaan now yupo belgium ameoa mzungu na life inaendelea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…