Nimezaliwa na kuishi had utu uzima eneo hilo la kina dulayo ni jiran yangu tofaut ya nyumba tatu tu namjua dulayo vyema sanaaa niliwai kuwa nae studio mwaka 2000 alikua anajiita tusker lager nimesoma nae eneo hilo ni eneo changanyiken maarufu kama shingfeni ni uswaz kama bugurun flan kila week mwali anademwa uwanjani eneo la kwao limetoa masuper star wawi dulayo na ali mustafa batez shida ya dulayo ni elimu na watu wanaomzungula hapa mjifunze kitu nazungumzia kuanzia ndan kwako au kwenu mtazamo wa dada baba mama na nk kwa ni uswahin hakuna future hela alizopata bila kufanyia kaz zikampa uchiz akaonja utamu wa raha na wanawakr umaarufu ukamchota hakuwaza kuwekeza pesa imekata wakat umepita hela hakuna analazimisha kuish maisha ya kuenjoy lakn hana uwezo ndio kinachomtesa inabid aenjoy at his lowest level double kick banana smart jin na nk kama ni stress mtu kama bele nine,izo busines ni moja ya wasanii ambao walitakiwa wawe na stress maana kila ngoma wakiweka inapea ila kinachowasaidia ni elimu na watu wanakuzunguka stress alikua nazo mangwea lakin watu waliomzunguka na elimu wakamuokoa hata dogo janja pia dulayo chid benz maisha ya watu wanaowazunguka yanafanana