Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa

UPDATE...

Hii ni kwa mujibu wa X kurasa ya Maria Sarungi
Tunaendelea kuleta updates.
 
Labda alikuwa field anafanya mafunzo kwa vitendo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…