Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Familia zote ambazo vijana wao, wameondoshwa katika mazingira ya kutatanisha wanaumia. Kuna kina Ben, Soka, Mzee Kibao ambaye tuliambiwa kifo ni kifo.

Tulisema waache kuteka na kuuwa watu kisa madaraka. Iko siku wananchi, watachoka watawageukia, haya ndiyo madhara yake. Kila mtu awe kiongozi au Mwananchi, aheshimu haki ya kuishi ya mwingine.
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Wananchi Tegeta kwa Ndevu wameiumbua serikdli.
Mara..mfanyakazi wa serikali
Mara...mwanafunzi
Mara...walikuwa wanafukuzia mkwepa kodi
Mara....muda wa mwanafunzi kufanya kazibsaa tatu usiku

It doesent make sense!

Serikali ituambie tu wananchi, kuna majasusi nchini yanatumia magari ya kifahari(BMW X6) na namba bandia.

Huyo kijana asife bure, apewe maua yake.
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa Kwa ni kusoma part time hairuhusiwi?
 
Maokoto kitaani, huyo mwenye BMW angesimama na kujitambulisha wangemtoa walau 500000 /-, tena wakamwambia, uwe unaitumia gari yako kila weekend bana 😁😁😁
-Pana mazingira ya rushwa za maafisa mitaani.
 
Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Field gani Mkuu na semister ndio kwanza yamoto hata mid tests bado. Ila kwa wingi wa taarifa huyu mi mtumishi kamili wa hiyo mamlaka.
 
Back
Top Bottom