Unajiongezea maswali tu wewe mwenyewe; kwani hawezi kuwa yupo 'field training' huku akiwa mwana funzi?Maswali yanazidi kuchanganya umma
Tuseme tu kuwa inawezekana hawakufuata taratibu za mafunzo na kazi zao inavyo takiwa kuwa.. Hali ilivyo nchini ndio mchango mkubwa wa haya yote. Hapakuwa na sababu yoyote kwa wananchi kuchukua hatua hiyo kama hali ya utulivu ingekuwepo nchini.