Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Kwanini useme 'labda masters' wakati wameshakwmbia alikuwa anasoma bachelor degree? Kwanini useme 'kwani hawezi kuwa field' wakati TRA wamekwambia ni mtumishi wao?
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa

Young guys are working every where in our nation or other nations to safe guards their interest. However, when they are wrongly used, the price can be ultimate.

Poleni sana wafiwa wote. Kwangu mimi nafikiri kukamata watuhumiwa wa jinai, hakuna tatizo lolote kama kunafuata sheria na taratibu. Njia za mikato, kwenye jamii ambayo watu kadhaa wamepotea katika namna zisizoeleweka, ni kujitafutia majanga.

Usalama wa kweli wa Taifa lolote unatokana na ushirikiano thabiti wa vyombop vya usalama na raia wake. Na si vinginevyo
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Nchi inaongozwa na wahuni wananchi wanapaswa kupambana na serikali ya kihuni kama inavyo endeshwa.
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Kumbe home boy. Apumzike kwa amni
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Dodona ipo nchi gani?sikuiti mkuu dodona ni wapi?
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Hilo ni jambazi la ccm na samia ....kill them all
 
Back
Top Bottom