Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Watu wakionewa kiuonevu machozi yao pia hayataisha bure wa kulaumiiwa ni serikali ya ccm na wabunge (bunge) walioruhusu raia kutekwa kishamba bila kuchukua hatua au bunge kuihoji serikali matokeo yake raia wameamua kujilinda wenyewe dhidi ya wasiojulikana.kwani katika nyakati hizi za kutekana nani angejua hao wanyatiaji wa usiku ni TRA na sio watu wasiojulikana?
 
Ni mtumishi wa TRA as a driver, na CBE ni mwanafunzi, so kila ofisi ime response kwa namna wanavyorelate naye.
Akiwa TRA ni mtumishi dereva while akiwa CBE ni mwanafunzi
WEWE KUNA UOVU UNATETEA.
TUSEME NI DRIVER,AMEPATAJE KUSOMA CBE ACCOUNTANCY?

MARA SUA ALUMNI,MARA CBE,MARA DRIVER.

HAYA NI MWANAFUNZI,KWANINI ALIKUWA KAZINI WAKATI ANATAKIWA KUWA NA STUDY LEAVE KISHERIA ?
 
It won't work, ndiyo wanazidi kujichanganya. Miluzi imekuwa mingi from different angles mpaka watu hawajui washike lipi waache lipi, waamini maelezo yapi na waache yapi. Spins zimekuwa nyingi mpaka wamerudi where they exactly belong kwamba liwalo na liwe raia wameshatustukia bora tuzidi kuvuruga tu🤣. Inaonekana kiranja mkuu(headmistress) ka-panic na katoa maelekezo makali ndiyo maana kila ofisi inadai yule ni kijana wao ili waonekane wanatoa ushirikiano kumsafisha.

Hawa tatizo Lao ni moja, hawajipi mda kuja na Tamko lenye kuzingatia damage control, kila mtu ana kurupuka, mwisho wa siku it’s out of hands!

Hivi TRA walisemaje wana mamlaka ya ku arrest bila Police? Wana mahali pa kuweka watu Maabusu? Let’s assume watapeleka Police, Question: documents za arrest zitaanzia wapi?
 
Capture.PNG


Keshakufa huyo mtekaji kama umeumia sana mfufue, kifo ni kifo tu au haukuusikia huo ujumbe?
Mob justice utamkamata Nani labda mwenye BMW
Kama alivyoshughulikiwa huyo mtekaji, so three wrongs make it right according to your level of understanding.
Ulishakaririshwa ukabweteka! Pole.
Ndiyo walewale, wangefanikiwa kumteka huyo mmiliki wa X6 ungesikia ni wasiojulikana. Muuaji kauawa so it's all well and good, people are bloody tired with these murderers.
Hiyo spin mliyokuja nayo eti ni TRA employee you know what? I don't buy that shit, go and tell it to the birds.
NB: Operation za TRA zinapaswa kuwa na escort ya polisi waliovaa sare rasmi, ndiyo sheria ilivyo otherwise ni yaleyale majambazi AKA wasiojulikana.
Sasa unamfokea nani!!??
Walijuaje kuwa tra? Mwenye bmw unaambiwa alipiga kelele kuwa anatekwa.
Shida hata waliomteka mzee kibao walikuja na cruiser na wakasema ni askari. Watekaji wote wanadai ni vyombo vya serikali.
Sasa raia wataamini vipi mtu anatekwa au anachukuliwa na chombo cha serikali.
Shida ni kwamba serikali imekuwa ikichukulia haya mambo poa.
Sasa hii ndiyo effect yake.
Polisi wenyewe hawaaminiki mara kadhaa wanamchuakua mtu baadaye wanakana familia inahangaika kumtafta wao wanakana wanakuja kukubali baadaye sana. Refer tukio la yule kijana wa temeke. Familia imezunguka over mwezi polisi wanakana kuwa hawako naye
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Alikuwa Ni Dereva na alikuwa kwenye kazi kwa vitendo
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Afisa kipenyo
 
WEWE KUNA UOVU UNATETEA.
TUSEME NI DRIVER,AMEPATAJE KUSOMA CBE ACCOUNTANCY?

MARA SUA ALUMNI,MARA CBE,MARA DRIVER.

HAYA NI MWANAFUNZI,KWANINI ALIKUWA KAZINI WAKATI ANATAKIWA KUWA NA STUDY LEAVE KISHERIA ?
Hili nalo linaleta alert, maana mtu ambaye anasomeshwa na serikali lazma awe likizo ya masomo, huyu dogo ina maana alikuwa anatumika kama kishoka kwenye mission za ajabu😂
 
Back
Top Bottom