The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
NYIE ACHENI UONGO.Jamaa alikuwa dereva . Yuko TRA muda mwingi tu.
I know him well
DRIVER HALAFU ANASOMA BACHELOR ACCOUNTANCY SIO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NYIE ACHENI UONGO.Jamaa alikuwa dereva . Yuko TRA muda mwingi tu.
I know him well
Watu wakionewa kiuonevu machozi yao pia hayataisha bure wa kulaumiiwa ni serikali ya ccm na wabunge (bunge) walioruhusu raia kutekwa kishamba bila kuchukua hatua au bunge kuihoji serikali matokeo yake raia wameamua kujilinda wenyewe dhidi ya wasiojulikana.kwani katika nyakati hizi za kutekana nani angejua hao wanyatiaji wa usiku ni TRA na sio watu wasiojulikana?Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
WEWE KUNA UOVU UNATETEA.Ni mtumishi wa TRA as a driver, na CBE ni mwanafunzi, so kila ofisi ime response kwa namna wanavyorelate naye.
Akiwa TRA ni mtumishi dereva while akiwa CBE ni mwanafunzi
It won't work, ndiyo wanazidi kujichanganya. Miluzi imekuwa mingi from different angles mpaka watu hawajui washike lipi waache lipi, waamini maelezo yapi na waache yapi. Spins zimekuwa nyingi mpaka wamerudi where they exactly belong kwamba liwalo na liwe raia wameshatustukia bora tuzidi kuvuruga tu🤣. Inaonekana kiranja mkuu(headmistress) ka-panic na katoa maelekezo makali ndiyo maana kila ofisi inadai yule ni kijana wao ili waonekane wanatoa ushirikiano kumsafisha.
Keshakufa huyo mtekaji kama umeumia sana mfufue, kifo ni kifo tu au haukuusikia huo ujumbe?
Mob justice utamkamata Nani labda mwenye BMW
Kama alivyoshughulikiwa huyo mtekaji, so three wrongs make it right according to your level of understanding.
Ulishakaririshwa ukabweteka! Pole.
Ndiyo walewale, wangefanikiwa kumteka huyo mmiliki wa X6 ungesikia ni wasiojulikana. Muuaji kauawa so it's all well and good, people are bloody tired with these murderers.
Hiyo spin mliyokuja nayo eti ni TRA employee you know what? I don't buy that shit, go and tell it to the birds.
NB: Operation za TRA zinapaswa kuwa na escort ya polisi waliovaa sare rasmi, ndiyo sheria ilivyo otherwise ni yaleyale majambazi AKA wasiojulikana.
Sasa unamfokea nani!!??
Walijuaje kuwa tra? Mwenye bmw unaambiwa alipiga kelele kuwa anatekwa.
Shida hata waliomteka mzee kibao walikuja na cruiser na wakasema ni askari. Watekaji wote wanadai ni vyombo vya serikali.
Sasa raia wataamini vipi mtu anatekwa au anachukuliwa na chombo cha serikali.
Shida ni kwamba serikali imekuwa ikichukulia haya mambo poa.
Sasa hii ndiyo effect yake.
Polisi wenyewe hawaaminiki mara kadhaa wanamchuakua mtu baadaye wanakana familia inahangaika kumtafta wao wanakana wanakuja kukubali baadaye sana. Refer tukio la yule kijana wa temeke. Familia imezunguka over mwezi polisi wanakana kuwa hawako naye
Alikuwa Ni Dereva na alikuwa kwenye kazi kwa vitendoPamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Poleni wafiwa
Kwamba alikuwa Dereva wa Accounts and Taxation TRAKwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Nina imani mamako kapata shida kukuzaa mtu usie jielewaCHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
Naam mwisho itadhihirika adui wa raia ni naniYeah na bado yatasemwa mengi zaidi, they're just exposing themselves.
Afisa kipenyoPamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Poleni wafiwa
Sasa utajuaje kazi, wewe humsuki yule Mbunge Kishimba anayesema kuwepo na chuo cha wizi ili Mkaguzi ajue mbinu. Pia Baba ana Ngombe, Mtoto anasomea uwalimu, Ngombe ataziangalia naniKuna watu hapo juu nimeona wanasema alikuwa field.. Kuna field ya kuteka?
😂😂😂😂😂😂😂Bachelor ya long distance sijawahi kuiona labda Open University ila kwa CBE nina mashakaKwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
😂😂😂😂😂😂😂Bachelor ya long distance sijawahi kuiona labda Open University ila kwa CBE nina mashaka
Lakini damu ya mzee Ally kibao, haijaenda na mtu jelaDamu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Likely alikuwa dereva then akajiongeza, most drivers do the same.Labda alikuwa auditor, hawa auditors wa serikali wanafanya kazi popote mkoa wowote, as long as anareport ofisi husika.
Again what do i know
Conspiracies at best
Kavurugwa huyoChadema kimehusikaje mzew au ndio uneshavurugwa?
Yupi huyo?Hata yule aliyetaka kuondoka na msichana Kwa nguvu usiku Kwa Kutoa silaha, tuliambiwa ni TRA pia.
Hili nalo linaleta alert, maana mtu ambaye anasomeshwa na serikali lazma awe likizo ya masomo, huyu dogo ina maana alikuwa anatumika kama kishoka kwenye mission za ajabu😂WEWE KUNA UOVU UNATETEA.
TUSEME NI DRIVER,AMEPATAJE KUSOMA CBE ACCOUNTANCY?
MARA SUA ALUMNI,MARA CBE,MARA DRIVER.
HAYA NI MWANAFUNZI,KWANINI ALIKUWA KAZINI WAKATI ANATAKIWA KUWA NA STUDY LEAVE KISHERIA ?