Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
RIP Amani Simbayao.Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Poleni wafiwa
Our thoughts are with his family and friends at this difficult time.
Sasa hii si ni INTERNAL MEMO?
CBE watoe taarifa rasmi iloshiba inayomhusu mwanafunzi/mwajiriwa wa TRA na kwamba wafafanue alikuwa akisoma full-time au part-time.
CBE wawe wazi wasitoe taarifa nusunusu au za kutegemea INTERNAL MEMO.
CBE watoe OFFICIAL PRESS RELEASE.