Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Anauliza maswali ya kitoto sana,
Nadhan hajawahi kufika chuo so hajui hata Kuna hizo mambo.
Romans mnaji unmask wenyewe.

Siku hizi kitengo kimeajiri mbatata wenye akili zisizokuwepo
 
Magari yenye makosa barabarani yanakamatwa na Polisi Traffic au TRA?
Kitengo kimetuma watu wake kufanya spinning.

Ndo tunaona wanavyojianika hovyo jukwaani.

TRA wanahusikaje kukamata bila.msaada wa polisi?
 
TISS wengi wamejaa CBE sijui kwasababu karibu na ngome yao pale.
 
kwa hiyo kuwa mjuaji ni vibaya? kuuliza maswali kutokana na maelezo yaliyotolewa ni vibaya, ukiona unafikiri hivi kwamba watu wanaojua zaidi yako unawachukia..ujue akili yako ina kasoro!
 
kwa hiyo kuwa mjuaji ni vibaya? kuuliza maswali kutokana na maelezo yaliyotolewa ni vibaya, ukiona unafikiri hivi kwamba watu wanaojua zaidi yako unawachukia..ujue akili yako ina kasoro!
Kwahiyo hujawahi kuona mtu anafanya kazi huku anajiendeleza kielimu?

Punguzeni ujuaji mwingi.
 
Kitengo kimetuma watu wake kufanya spinning.

Ndo tunaona wanavyojianika hovyo jukwaani.

TRA wanahusikaje kukamata bila.msaada wa polisi?
Sijui kuhusu siku hizi, speaking from experience, mama yangu alikuwa customs officer, kiufupi alikuwa ni askari kabisa,na alienda CCP kusoma kama askari na alikuwa na uniform za kiaskari, kuanzia kofia mpaka mikanda ya bendera.

Kazi zao kubwa ni enforcement, ndio maana wanaenda CCP. Na hizo doria zinapigwa mpaka baharini, hasa hasa kuanzia bagamoyo mpaka Mombasa. I remember wakati yuko stationed Bagamoyo, kazi yao kubwa ilikuwa sea patrols. Na walikuwa wanaenda bila askari wakiwa na silaha. Sababu kubwa kutokuwa na askari, ni kwamba jeshi la polisi haliamiki na wenzao.

Tumefika hapa kwa uhuni wa miama hii ya Jiwe na Mama. Haya mambo yamefanyika miaka mingi. The story am telling you ni miaka ya 1998 huko. Ila experience zimetengeneza hofu, watu wanareact namna hii
 
Nakuelewa sana ndugu yangu.
Ilipaswa kuwepo na Governing Order ya operations za kiaskari ndani ya TRA.

Lakini haya yanatukia baada ya serikali kupuuzia usalama wa raia na hususan mauaji yanayoiumbua serikali na ushiriki wake.

Kuna wafanyakazi wa Ardhi waliuawa na kuchomwa moto pamoja na gari yao huko Morogoro lakini serikali ilikaa na kuwaelimisha wananchi na kuwakumbusha watendaji wake kufuata taratibu zilizowekwa wanapoenda kwa oparesheni za vijijini. Sasa tofauti tunaiona hapa kwenye hili sakata ambapo serikali kupitia kauli mbalimbali inaashiria inajipanga KULIPIZA KISASI kwa wanaoonekana wahusika wa hii issue.

Serikali inayopambana na raia wake ni serikali inayopigana vita dhidi yake yenyewe
 
Endeleeni muone nani atakua wa kwanza kuisha nyinyi au watekaji. Mwenzenu mhujumu uchumi na BMW yake ya wizi kataka sifa za kijinga sasa anaishia jela si chini ya miaka 40 na wenzake aliofanya nao mauaji. Wewe mguse mtumishi uone.
Hopeless
 
It's time serikali isome alama za nyakati... kwa ujinga unaoendelea ipo siku hata majambazi wa kweli watapiga kelele ya kutekwa
 
Eti alikuwa dereva! Serikali inachangia familia shs. 200,000,000/=! Kwa dereva wa serikali anayefariki kwa ajali na viongozi wazito wanahudhuria msiba wake! Kila mtumishi anapoajiriwa ofisi humpa kitambulisho chenye picha rasmi ambayo huwekwa kwenye faili la muhusika. Mimi nashauri tusihoji ila tukubali kwa shingo upande.
 
Serikali imetoa Tzs 200M?

Bora hata wasingetangaza maana tayari nukta zimeunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…