Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Wana magari Yao, offisi zao na watu wao all over the main big cities of the company. Wana power kupitia na kutumia any PCC post Ndani ya kampuni!

Most of them don't look like security agents, male and females of different kinds🤣🤣🤣!mm
 
Kwani CBE ipo dodoma peke yake mkuu?hujui dsm pia kuna cbe? Na kwenye hilo tangazo wamesema ni mwanachuo wa cbe dom au?..kwani hujawahi kusikia mwajiriwa anasoma kujiendeleza mkuu? Afu chuo kuna Degree program za jioni Evening class chuo vipindi kwa siku havizidi 3 au 4 .afu mkuu marehemu kua mwanachuo jambo la kawaida huenda aliajiriwa na diploma so kaamua kujiendeleza so relux
Anauliza maswali ya kitoto sana,
Nadhan hajawahi kufika chuo so hajui hata Kuna hizo mambo.
 
Pumzika unapostahili Kijana..We mwenyewe ndo unajua kazi uliyokua unayofanya.Hapa tutalumbana mpka basi na hakuna mwenye jibu kamili.
 
Watu wengi humu ni waropokaji ujuaji mwingiiii,hili tukio hao wahuni waliohusika wapewe adhabu kaliii mno ili iwe fundisho na yoyote aliyeshiriki uhalifu huu wa kukatiza maisha ya kijana huyu apewe adhabu kali kali mno,yaani ile maximum sentence isiyo na chance ya msamaha.
 
Kwa hiyo wapo sahihi kusema ni mfanyakazi wa T.R.A wapo sahihi maana hawajataka kulezea kwa mapana zaidi kama alikuwa mfanyakazi wa vitendo au wa mkataba lakin kama alikuwa ni wa vitendo (field)
Wapi mimi nimesema siyo sahihi?
 
Wapi mimi nimesema siyo sahihi?
Huko nyuma niliandika

" Okay ,tuseme alikuwa mwanafunzi wa dodoma lakin alikuwa field T.R.A Dar ,,je muda wa field haukuwa umeisha ??

Nikiwa na maana kwasasa vyuo vimefungua inakuwaje mwenzetu aendelee na field ??

Wewe ukaja na quote kuwa alikuwa ni T.R.A officer muwe mnasoma na kuelewa,,

Ndiyo nikakijibu hapo juu kuwa hukuelewa nilichokiandika na kuongezea maelezo ili tuweze kuelewana
 
Watu wengi humu ni waropokaji ujuaji mwingiiii,hili tukio hao wahuni waliohusika wapewe adhabu kaliii mno ili iwe fundisho na yoyote aliyeshiriki uhalifu huu wa kukatiza maisha ya kijana huyu apewe adhabu kali kali mno,yaani ile maximum sentence isiyo na chance ya msamaha.
Jitekenye tu.
 
Maji yamekorogeka, kiti cha Masauni amepewa Bashungwa. Tuendelee kula Karanga.
Kifo ni kifo tu!
 
Unavyoo gea inaonekana ww ni sehemu ya watu wanaoratibu ama kuteka watu, sasa unatengeneza vitisho vya jela ili watu waogope kuwashughulikia muendelee kuwafanyia uovu.

Endeleeni muone nani atakua wa kwanza kuisha nyinyi au watekaji. Mwenzenu mhujumu uchumi na BMW yake ya wizi kataka sifa za kijinga sasa anaishia jela si chini ya miaka 40 na wenzake aliofanya nao mauaji. Wewe mguse mtumishi uone.
 
Aliyeisha hapo ni aliye hai jela au aliyefariki?
 
Endeleeni muone nani atakua wa kwanza kuisha nyinyi au watekaji. Mwenzenu mhujumu uchumi na BMW yake ya wizi kataka sifa za kijinga sasa anaishia jela si chini ya miaka 40 na wenzake aliofanya nao mauaji. Wewe mguse mtumishi uone.
Kwa nini yeye afungwe hiyo miaka 40? Wewe hakimu?
 
Back
Top Bottom