Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #221
Kwa hiyo mnataka izo t-shirt zenu na kofia zenye majina yake na picha zake muwavalishe hadi Wanajeshi?
Wavalisheni tu maana nao wameshakosa akili ndo mana wanatepeshwa na vijana wadogo wa Kagame huko Goma.
Wavalisheni tu maana nao wameshakosa akili ndo mana wanatepeshwa na vijana wadogo wa Kagame huko Goma.
Acha kujitia ujinga ..
Huyo ni rais wa nchi .... wanajeshi wanamtii sana. ..nao ni wananchi....sasa unashangaa nn kwa raia kumtii rais wao ?!!
Acheni uliberali koko,...