Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Hapa Masoud alisema ya kweli kabisa kupitia kikatuni chake. Tumekuwa ghafla taifa la vilaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Masoud alisema ya kweli kabisa kupitia kikatuni chake. Tumekuwa ghafla taifa la vilaza.
Wewe kinachokukera ni nn hapo? Zile picha za ukutani kweny ofisi mbalimbali zenye sur ya Rais pia hutaki?Kama ni Rais ndo wavae t-shirt zenye sura yake? Ndo wavae t-shirt zenye jina lake?
Kwa hiyo ni Tanzania tu ndo tuna Rais au Kiongozi nchi zingine hawana? Mbona kwenye mataifa mengine ya watu wenye akili hawafanyi huo upuuzi wenu?
Kilaza wewe maana mambo hayukuhusu ,mlitaka demokrasia pambaneni.Yaani pesa ninayotozwa kodi na matozo inatumika kuchapisha tshirts halafu unauliza inanihusu nini!!??
Pole sana kwa kuwa kilaza.
Unafananisha picha za ukutani ambazo zinabandikwa kwa mujibu wa Sheria na Tishirt na Kofia zinazokuwa printed ili kumuabudu mtu na kuwa chawa wake? Tena kwa kutumia pesa za walipakodi zinazopaswa kwenda kutoa huduma bora kwa wananchi?Wewe kinachokukera ni nn hapo? Zile picha za ukutani kweny ofisi mbalimbali zenye sur ya Rais pia hutaki?
Utaumia bure kaa ufanye kazi mambo mengine ni hayakuhusu.
Uzi ni mzito kwako ....kichwa Cha kuku hakibebi mzigo...Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Uzi ni mzito kwako ....kichwa Cha kuku hakibebi mzigo ...Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Zile unajifanya conscious nyuma ya keyboard 🤣🤣🤣utaumia tafuta pesa ...Matajiri wengi wanaunga juhudi na utapoteza muda ,siasa ni maslahi ya watu kama hujui.Unafananisha picha za ukutani ambazo zinabandikwa kwa mujibu wa Sheria na Tishirt na Kofia zinazokuwa printed ili kumuabudu mtu na kuwa chawa wake? Tena kwa kutumia pesa za walipakodi zinazopaswa kwenda kutoa huduma bora kwa wananchi?
We kweli kilaza.
Kwa hiyo tusiwe wakweli mbona waislamu wanambagua nyerere kwa sababu ya dini yake tena kinyume na ukweli ...je sisi tunao wasema waislamu kwa ukweli ulio dhahili tuwe tumekosea kwa kusema ukweli ....nitajie hata ule msemo wa ..👉 Baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada ....msemo huu ukiufitisha Tanzania unaona unafiti kwa marais wa dini gani ...atoning watoto wa viongozi wakristo wakitumia vyeo vya baba zao kufanya ushenzi kama tunavyo ona kwa waislamu.Tusimbague mtu kutokana na Dini Jinsia Kabila nk.
Yaani anafundisha watu wampende nan 🤣Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Nasikitika kukwambia kuwa wewe ni mmoja ya wajinga.Zile unajifanya conscious nyuma ya keyboard 🤣🤣🤣utaumia tafuta pesa ...Matajiri wengi wanaunga juhudi na utapoteza muda ,siasa ni maslahi ya watu kama hujui.
Jana chakula kilikuwepo kwa umati wote huo.🤣
We jamaa utaumia sana ,kumbuka hakuwa na mpango ila yule jamaa alikufa ...Dunia kila kitu ni mpango wa Mungu.Kwa hiyo tusiwe wakweli mbona waislamu wanambagua nyerere kwa sababu ya dini yake tena kinyume na ukweli ...je sisi tunao wasema waislamu kwa ukweli ulio dhahili tuwe tumekosea kwa kusema ukweli ....nitajie hata ule msemo wa ..👉 Baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada ....msemo huu ukiufitisha Tanzania unaona unafiti kwa marais wa dini gani ...atoning watoto wa viongozi wakristo wakitumia vyeo vya baba zao kufanya ushenzi kama tunavyo ona kwa waislamu.
Hii inaitwa kutafuta uungwaji mkono kwa kiki ya piki piki.Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu.
Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na kutunzwa vizuri muda wote, wao wanazielekeza kwenye ku print kofia, t shirt na kanga za kumuabudu Kiongozi ili aendelee kuwateua na waendelee kura.
Hakuna anayeumiza kichwa kuwaza Dunia ilipo na changamoto zake Tanzania tuweje na tufanye nini ili tuwe nchi imara inayojitegemea na kutegemewa na wengine.
Kwa sasa ni kama wote hatuwazi, hatufikirii, tumepigwa upofu na wala hatuiangalii Tanzania ya kesho na Watoto wake inapaswa kuwaje.
Naionea huruma Tanzania. Naumia kuishi nyakati ambazo Tanzania inakufa huku naiona.
View attachment 3254495View attachment 3254496View attachment 3254497View attachment 3254498View attachment 3254499View attachment 3254500View attachment 3254501View attachment 3254502View attachment 3254503View attachment 3254504View attachment 3254505
Endeleeni kuliua hili Taifa kwa mikono yenu na maneno yenu ya kiswahili hayo.Tunawajengea chadema hospital ya moyo maana mtaumia mpaka nyoyo zipasuke hizo
Chad*ma jichama la kikri*to. Nawaona mashehe uchwara wakitumika na chaKwa hiyo tusiwe wakweli mbona waislamu wanambagua nyerere kwa sababu ya dini yake tena kinyume na ukweli ...je sisi tunao wasema waislamu kwa ukweli ulio dhahili tuwe tumekosea kwa kusema ukweli ....nitajie hata ule msemo wa ..👉 Baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada ....msemo huu ukiufitisha Tanzania unaona unafiti kwa marais wa dini gani ...atoning watoto wa viongozi wakristo wakitumia vyeo vya baba zao kufanya ushenzi kama tunavyo ona kwa waislamu.
Endeleeni kuliua hili Taifa kwa mikono yenu na maneno yenu ya kiswahili hayo.
Ipo siku wenye akili watafanya maamuzi magumu kwenyw hii nchi na mtajuta nawaambia.
Wakati mwingine najihisi vibaya kusema watanzania wengi ni vilaza, ila huo ndyo ukweli na utabaki kuwa ukweli siku zote.Hapa Masoud alisema ya kweli kabisa kupitia kikatuni chake. Tumekuwa ghafla taifa la vilaza.