Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

Hali ni mbaya na inasikitisha,Tanganyika inatengenezewa mfumo mbaya wa maadili,na kuacha kumwabudu Mungu na kumwabudu mwanadamu.Na wanapotezewa uwezo wa kufikiri kwa ajili ya vizazi vijavyo,Mungu naomba uisaidie Tanzania
 
Kama ni Rais ndo wavae t-shirt zenye sura yake? Ndo wavae t-shirt zenye jina lake?

Kwa hiyo ni Tanzania tu ndo tuna Rais au Kiongozi nchi zingine hawana? Mbona kwenye mataifa mengine ya watu wenye akili hawafanyi huo upuuzi wenu?
Wewe kinachokukera ni nn hapo? Zile picha za ukutani kweny ofisi mbalimbali zenye sur ya Rais pia hutaki?

Utaumia bure kaa ufanye kazi mambo mengine ni hayakuhusu.
 
Wewe kinachokukera ni nn hapo? Zile picha za ukutani kweny ofisi mbalimbali zenye sur ya Rais pia hutaki?

Utaumia bure kaa ufanye kazi mambo mengine ni hayakuhusu.
Unafananisha picha za ukutani ambazo zinabandikwa kwa mujibu wa Sheria na Tishirt na Kofia zinazokuwa printed ili kumuabudu mtu na kuwa chawa wake? Tena kwa kutumia pesa za walipakodi zinazopaswa kwenda kutoa huduma bora kwa wananchi?

We kweli kilaza.
 
Usilaumu watu!
Wakulaumiwa ni wale wenye kuifinyanga kesho ya Tanzania!

Walijisahau wakaanza kucheza beat za wanasiasa badala ya mstakabali wa kesho yetu!!

Chama tawala kimefanywa Cha maana kuliko jamuhuri iliyoanza mwaka 1964!!

The state watuombemsamaha wametukosea sana !wameifanya siasa kuwa ndio KAZI Bora na kuua elimu ionekanekituko hata kama wewe ni profesa unajiona ni wa jalalani!!
 
Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Uzi ni mzito kwako ....kichwa Cha kuku hakibebi mzigo ...
 
Zile unajifanya conscious nyuma ya keyboard 🤣🤣🤣utaumia tafuta pesa ...Matajiri wengi wanaunga juhudi na utapoteza muda ,siasa ni maslahi ya watu kama hujui.

Jana chakula kilikuwepo kwa umati wote huo.🤣
 
Tusimbague mtu kutokana na Dini Jinsia Kabila nk.
Kwa hiyo tusiwe wakweli mbona waislamu wanambagua nyerere kwa sababu ya dini yake tena kinyume na ukweli ...je sisi tunao wasema waislamu kwa ukweli ulio dhahili tuwe tumekosea kwa kusema ukweli ....nitajie hata ule msemo wa ..👉 Baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada ....msemo huu ukiufitisha Tanzania unaona unafiti kwa marais wa dini gani ...atoning watoto wa viongozi wakristo wakitumia vyeo vya baba zao kufanya ushenzi kama tunavyo ona kwa waislamu.
 
Tunawajengea chadema hospital ya moyo maana mtaumia mpaka nyoyo zipasuke hizo
 
Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Yaani anafundisha watu wampende nan 🤣
 
Zile unajifanya conscious nyuma ya keyboard 🤣🤣🤣utaumia tafuta pesa ...Matajiri wengi wanaunga juhudi na utapoteza muda ,siasa ni maslahi ya watu kama hujui.

Jana chakula kilikuwepo kwa umati wote huo.🤣
Nasikitika kukwambia kuwa wewe ni mmoja ya wajinga.
 
Nimemuona classmate wangu mmoja hapo.

Uchawa unalipa aisee.

Mimi na huu mshahara wangu wa elfu 50.

Ngoja nijimwijaku.
 
We jamaa utaumia sana ,kumbuka hakuwa na mpango ila yule jamaa alikufa ...Dunia kila kitu ni mpango wa Mungu.
 
Hii inaitwa kutafuta uungwaji mkono kwa kiki ya piki piki.

Hakuna haja ya mambo yoote hayo. Exergration
 
Tunawajengea chadema hospital ya moyo maana mtaumia mpaka nyoyo zipasuke hizo
Endeleeni kuliua hili Taifa kwa mikono yenu na maneno yenu ya kiswahili hayo.

Ipo siku wenye akili watafanya maamuzi magumu kwenyw hii nchi na mtajuta nawaambia.
 
Chad*ma jichama la kikri*to. Nawaona mashehe uchwara wakitumika na cha
Endeleeni kuliua hili Taifa kwa mikono yenu na maneno yenu ya kiswahili hayo.

Ipo siku wenye akili watafanya maamuzi magumu kwenyw hii nchi na mtajuta nawaambia.
 
Hapa Masoud alisema ya kweli kabisa kupitia kikatuni chake. Tumekuwa ghafla taifa la vilaza.
Wakati mwingine najihisi vibaya kusema watanzania wengi ni vilaza, ila huo ndyo ukweli na utabaki kuwa ukweli siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…