Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
IMG-20211229-WA0030.jpg
IMG-20211229-WA0029.jpg

Engineer wa TCRA aliyefariki majuzi msafara wa maziko umepata ajali.
Inasikitisha sana.
 
Roho ikichomoka kinachobaki ni usumbufu kwa mwili wa marehemu.
 
Kifo kina siri nzito sana.....

Watu wanakimbilia gym/ kufanya mazoezi kuepuka magonjwa nyemelezi....

Ila kifo... ikifika siku yako hata ujifiche wapi kinakufata....😔😔

May his Soul Rest In Peace.
Mh mkuu kwa uandishi huu ni kama unatetea hoja flani nyuma ya pazia.
Naanza kujenga picha, inaonekana ni bonge sana wewe mnyamwezi.
 
Kuna mtu aliwah post humu akasema hakuna kitu kibaya kama kuitazama gari iliyobeba maiti afu ukajiona kwenye kioo cha ile gari
 
Dah kuna idaraxukifanya watu wanakuchukia tu,policcm na tcra wazee wa vifurushi
 
Kuna mtu aliwah post humu akasema hakuna kitu kibaya kama kuitazama gari iliyobeba maiti afu ukajiona kwenye kioo cha ile gari
Ukishajiona inakuwaje Mkuu? Naomba kujua hii.
 
Kuna mtu aliwah post humu akasema hakuna kitu kibaya kama kuitazama gari iliyobeba maiti afu ukajiona kwenye kioo cha ile gari
Kioo kina reflect sasa kwa nini usijione? Mtu mweusi akishalewa ulanzi na mbege basi ndio anatunga theory zake za kikuda
 
Back
Top Bottom