Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

Kifo kina siri nzito sana.....

Watu wanakimbilia gym/ kufanya mazoezi kuepuka magonjwa nyemelezi....

Ila kifo... ikifika siku yako hata ujifiche wapi kinakufata....😔😔

May his Soul Rest In Peace.
Mimi huwa natafuna kitimoto tu sijali maneno ya watu
 
Atakuwa ndiye aliyefanya calculation za tozo.

Moyo ulijaa mishipa ikashindwa kufanya kazi ipasavyo siamini uchawi.

Sasa hicho cha gari kupata ajali nacho ni kisa, yawezekana hakutaka akazikwe kwao au ni nini Mshana Jr uko wapi bana
 
Unatetea ubonge wako
Mh mkuu kwa uandishi huu ni kama unatetea hoja flani nyuma ya pazia.
Naanza kujenga picha, inaonekana ni bonge sana wewe mnyamwezi.
Anachotaka kusema ni kuwa kifo hakina kanuni!!
Ufanye mazoezi, usifanye , kifo kipo pale pale
Moja ya wishes za Alexander the great , ilikuwa ni siku ya kifo , jeneza lake libebwe na madaktari bingwa , lengo ilikuwa ni kusema linapokuja swala la kifo ,hata hao madaktari bingwa hawana la kufanya.
 
Kifo hakikimbiwi, ufanye mazoezi usifanye foleni yako ikifika imefika…

Pole kwa wafiwa!
 
Back
Top Bottom