Anachotaka kusema ni kuwa kifo hakina kanuni!!
Ufanye mazoezi, usifanye , kifo kipo pale pale
Moja ya wishes za Alexander the great , ilikuwa ni siku ya kifo , jeneza lake libebwe na madaktari bingwa , lengo ilikuwa ni kusema linapokuja swala la kifo ,hata hao madaktari bingwa hawana la kufanya.