mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mnajifanya wasafi,wazalendoWatu hawa jamii ya wachache wenye multiple users ilioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyonzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.
Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina .
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Kumbe geresha
Mnayofanya nyuma ya pazia mnajua
Wenyewe
Ova