Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

Mnahangaika sn.Madam president anafuata utawala wa sheria
 
Pale hakuna raisi,yule sijui kwa nini Magu aliendelea naye awamu ya pili bora angemteua Mwinyi,huyu mama ni bogus kabisa na tembea yake kama anataka kudondoka
Bogus alikuwa jiwe ,the guy was completely useless,a fool.yani mtu Kama sabaya kafanya ujinga wote ule lakini jiwe hakuchukua hatia yoyote inamaana he approved ule ushenzi.jiwe was a disgrace to our national ndio maana mungu aliamua kumchukua .huyu mtu wenu alikuwa takataka .over
 
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.

Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Mama siyo mgeni ndani ya nchi hii. Kumbuka alikwamakamu wa raisi na anajua kila kitu kilichokuwa kinatendeka. Hata watu asingelia mtandaoni angefanya aliyoyafanya kwa sababu anayajua. Na lashasema toka day one kuwa atafanya anayoyafanya. Anantoa huyu na kumuweka kule na kumuweka huyu hapa ili kuleta ufanisi. Mdivyo alivyosema. Hamtaki alete ufanisi??
 
You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Ww Itakua umebemendwa akili yko
 
Ukisema "genge la mitandaoni" unawalenga watumiaji wa platforms zipi, Twitter?
The fact kwamba na wewe unatoa maoni yako hapa JF basi nawe pia ni member wa "genge la mitandaoni", labda tofauti yako tu na akina Kigogo, Maria Sarungi, Fatma Karume nk. ni kwamba wenzako wana akili, na wewe huna!
Mama yako ndio hana akili +baba yako
 
Ukitaka mataga uwakere we waambie hii ni serikali awamu ya sita.
Kusema kweli awamu ya serikali serikali mpya pamoja bunge jipya.
Mimi sioni kama ni awamu ya sita. Tuna rais wa sita awamu ya tano.
Ni vizuri tukisema rais wa 1, 2, 3, ... Hadi 46 maana hatutaweza kuja kusema awamu ya 46 au 50 nk. Tutaweza tu kusema rais wa 6, 7, ....
 
You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Hakuna uchaguzi Tanzania uliofanyika Tanzania bali CCM iliulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Hakuna uchaguzi Tanzania uliofanyika Tanzania bali CCM iliulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Hayo ni maoni yako. Ukweli vyama vya upinzani vilishiriki mchakato wote wa maandalizi ya uchaguzi ikiwemo Ku endorse kanuni za uchaguzi husika na kushiriki uchaguzi vizuri. Ila baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ndiyo wakaanzisha hizo ngonjera!
Kulalamikia kanuni walizoshiriki kutengeneza pale tu waliposhindwa uchaguzi! Kwa nini mshiriki uchaguzi ambao mnajua hautakuwa huru?
 
Back
Top Bottom