Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Kama ule uliona ni uchaguzi basi waliofanya sherehe baada ya jiwe ku coronewa walifanyia mtandaoni. If you know the secret is to invest in propaganda why don't you do the same badala ya kulalamika kama an idiot.
 
You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Uchafuzi uliopita sio.
 
Kama bunge lenyewe ndio lile la wademkaji wachache 300..... naona bora aendeshwe na sisi wanamitandao tulio wengi zaidi ya wademkaji,au unadhani wao wana akili kuwazidi Watanzania wote walioko mitandaoni?
 
Mkuu wewe unawasemea watanzania wa wapi? Kwahiyo wewe ndiyo milioni 60?
Ujui kua mitandao ni moja ya chanzo cha habari..
 
Mkuu lakini Hata research zinazosaidia Mambo mengi katika dunia ya leo ,au tz ya leo sio kwamba maoni/ data hukusanywa kila kaya, mtaa, kata, tarafa, wilaya au kila mkoa, but huchukuliea sample tu kutoka sehem ndogo ya nchi ambayo itawakisha total population

So ukisema mitandao sio sehem ya watz mil 60, unakosea Sana ,Kuna uwezekano wa 75% kuifanyia Jambo lako evaluation pitia mitandao hii bila kua field na ukafanikiwa

Pili sio tahalifa zote mitandaon Zina ukweli but ukituliza kichwa na kuchambua Kuna tahalifa nyeti and up to date sana
 
Waendelee tu kujitekenya na kucheka wenyewe kwa ujinga na adabu mbaya iliyowajaa.....

Rais wa nchi yuko kwa maslahi mapana ya nchi na si kila uamuzi anaouchukua basi umfurahishe kila zwazwa aliyeko mitandaoni.....

#KaziIendelee
 
Mama piga Kima haooooo!🐒🐒🐒
p09876.jpg
 
Ametaka mwenyewe kuendeshwa, mwache waendelee kumpeleka mputamputa ..mwana kuli'find' mwana kuli'get'! Hayo siyo maneno yanfu ni yake mwenyewe 😜!
 
Naona leo Sabaya gangs wanakunya na kuhara humu. Tena watu kama Sabaya hatuwataki CCM wametuchafua sana
 
We mzembe, hata Jamii Forums pia ni "mtandaoni." Na WhatsApp pia. Na kinachokuwezesha kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu ni mtandao pia. Hivi hii chuki yenu dhidi ya mtandao ni kwa sababu tu "kiongozi mkuu wa malaika" alitamani malaika washuke kuja kufunga mtandao (na wakaishia kufunga uhai wake) au kuna jingine?

Halafu you people need to behave yourselves. Mama Samia is a grown person. Ana lundo la wasaidizi. Kama kaamua mwenyewe au kashauriwa na wasaidizi wake kuhusu umuhimu wa mtandao, who are you to disagree with her? Kubwa zaidi, inawaathiri nini?
 
Mama aliruhusu serikali yake kukosolewa na hiyo ndiyo demokrasia
 
Kama hutaki hama nchi sio lazima uishi na sisi..mama endelea kushasha kibano kwa boys wa mwendazake,kama ni kabali tunasema imekaa mahali pake
 
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.

Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Na wewe hapa umefanya Nini Kama siyo kumwambia bi mkubwa asisome nyuzi zetu? Usijitofautishe nao kwani nawe ni mmoja wao!
 
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.

Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Kesha ukiomba Ili Israel ashuke nakuifungia mitandao yote
giphy.gif
 
You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Uchaguzi aliiba yule mzee wote mnajua!
 
Sabaya acha kuhangaika... Ushaliwa kichwa tulia! Kazi sio ukuu wa wilaya pekee.. kajiajiri#
 
Shida ukishakuwa na mkuu wa Nchi mdhaifu..haya ni kawaida
 
Back
Top Bottom