Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

Mnajifanya wasafi,wazalendo
Kumbe geresha
Mnayofanya nyuma ya pazia mnajua
Wenyewe

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hata akikesha, Mitandao ni sehemu tu ya chanzo cha habari ila Maamuzi yanafanywa baada ya uchunguzi, kama unasingiziwa hata wakipiga kelele vp haisaidii.
Inamaana toka Sabaya aanze kusemwa hana lolote analojua toka innercircle?
 
Safari yenu imesha iva ya kutupwa segerea kwa madhambi mliyo tenda dhidi ya binadamu wenzenu.
 
Na tunawajua woote kwenye kundi lenu
 
Serikali haifanyi maamuzi kwa kujali mitandao. Serikali ingefuata mitandao sabaya asingetolewa leo kupisha uchunguzi. Angekuwa ndani.
Kuna mtu ameangalia picha ya Avatar image yako kapandisha mashetani
Hahahaha hahahaha
 
Nimeshindwa kukuelewa!
 
Wafuasi wa hayati, kubalieni kuwa huu ni msimu mpya, msimu mpya huja na mambo tofauti ya yale ya msimu uliopita. Jifunzeni kuishi tofauti na mlivyozoea

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Usiwalaum Hao watu wa Mitandaon mlaum kiongozi wako sababu wewe kama unaona ni upumbavu alafu yeye ndio anacho kumbatia basi hakufai subir ufanye maamuz kwenye uchaguz
 
Pale hakuna raisi,yule sijui kwa nini Magu aliendelea naye awamu ya pili bora angemteua Mwinyi,huyu mama ni bogus kabisa na tembea yake kama anataka kudondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…