Kama ule uliona ni uchaguzi basi waliofanya sherehe baada ya jiwe ku coronewa walifanyia mtandaoni. If you know the secret is to invest in propaganda why don't you do the same badala ya kulalamika kama an idiot.You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Uchafuzi uliopita sio.You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Wanakwambia samia ni rais wa sita ila anamalizia awamu ya tano so ni rais wa awamu ya tano.Hahahaha wanataka waambiwe kuwa ni ya Magu
Na hao Mataga ndiyo walikuwa wanasema eti watanzania wote wanaimani na Mwendazake.Sabaya bado hujakubali matokeo? Ulishaambiwa Jiwe sio Mungu..
Na wewe hapa umefanya Nini Kama siyo kumwambia bi mkubwa asisome nyuzi zetu? Usijitofautishe nao kwani nawe ni mmoja wao!Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.
Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Kesha ukiomba Ili Israel ashuke nakuifungia mitandao yoteWatu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa lakini kakundi haka kanamchezesha katakavyo.
Nakumbuka uteuzi wa Biswalo kundi hili lilimshambulia sana kiongozi mkuu wa nchi kwa matusi ya kila aina , katika matusi hayo mengine ni ya aibu kabisa kwa jamii yoyote iliostarabika
Leo kafanya kama wanavyotaka amepewa sifa lukuki.
Ni kwakua tu bwana yule kapoteza ubunge,yetu macho tuendelee kutafuta kusemwa vizuri mitandaoni na genge hili vigeugeu
Uchaguzi aliiba yule mzee wote mnajua!You are very right!
Kuna kakikundi kadogo kameinvest fedha na time kupiga propaganda mitandaoni lkn kwa uongozi wa vyama vya siasa.
Picha ya mitandaoni na Hali halisi mitaani ni tofauti sana. Mfano ni walivyokuwa wanamshambulia Magu lakini majority wanamkubali, ushahidi ni uchaguzi.
Mama ajiangalie.
Yani akili ikiwaza hivi, mwili wote unasisimka na kujihisi kuwa huru sanaHeartless Jiwe is long dead and buried
You idiots get over it.