Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
 
Hakuna Timu Pale Kwenye Genge La Wahuni Watakuja Kushtuka Msimu Umeisha 21/22, Wametolewa Shirikisho Pamoja Na Azam Federation.

Ndio Wataanza Kumtafuta Mchawi Nani.
Kabisa na mchawi wetu namba 1 ni Babra. nae mudi kageuka ngoswe
 
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu

Washambuliaji hawafungi hata wakipewa penalti. Ukiaangalia vizuri Simba, viungo ndio wanafunga sio washambuliaji.

Tatizo jingine kocha amekosa plan b Kama washambuliaji hawafungi , kwanini asimtengeze mhilu akawa mshambuliaji wa Kati katikati au jymyson mwanuke yeye amekariri majina. Yeye amekomaa na boko, mugalu na kagere alitegemea mabadiliko.
 
Sakho alikuwa majeruhi halafu sio mshambuliaji Ni kiungo pia Chama kaanza msimu mwishoni mwa raundi ya kwanza. Simba waliomuangusha ni washambuliaji wamechoka hawafungi kabisa na hawashtuki na kubadilika.
 
Kwahiyo unahisi mhilu na mwinuke ndio tiba yetu ya uhaba wa magoli msimbazi?
 
Hakuna Timu Pale Kwenye Genge La Wahuni Watakuja Kushtuka Msimu Umeisha 21/22, Wametolewa Shirikisho Pamoja Na Azam Federation.

Ndio Wataanza Kumtafuta Mchawi Nani.

Mchawi kashajulikana ni kutokuwa na washambuliaji basi.
 
Si tulikubaliana kibu mabange ni zaidi ya benzema?

Ile ticktacka aliyoruka mayele angejaribu yule mzee mwenye miguu kama fito tungekuwa tunaimba palapanda sasa
 
S
Kwahiyo unahisi mhilu na mwinuke ndio tiba yetu ya uhaba wa magoli msimbazi?

Unapokosa mboga unakula ugali kwa chumvi, nadhani kocha angejaribu kuwatengeneza kipindi hichi Cha mpito. Fuatilia mechi zetu nyingi magoli yanfungwa na viungo. Kwanini tusimtumie mmoja Kama mshambuliaji.
 
Sakho alikuwa majeruhi halafu sio mshambuliaji Ni kiungo pia Chama kaanza msimu mwishoni mwa raundi ya kwanza. Simba waliomuangusha ni washambuliaji wamechoka hawafungi kabisa na hawashtuki na kubadilika.
Lakini Mbona Sakho anaimbwa ila ajabu hajafikisha magoli hata matatu na amecheza mechi zaidi ya 10? wakati kibu majeruhi ila ana goli 4 na assist 1 japokuwa kacheza mechi chache..!
 
S

Unapokosa mboga unakula ugali kwa chumvi, nadhani kocha angejaribu kuwatengeneza kipindi hichi Cha mpito. Fuatilia mechi zetu nyingi magoli yanfungwa na viungo. Kwanini tusimtumie mmoja Kama mshambuliaji.
Unakumbuka tulipo jaribu kumtumia morisson kama false 9? ndicho kitakochotokea tukifanya hivyo unavyotaka..kiufupi wachezaji wetu wengine umri umekwenda yaani akili inataka mwili unakataa.
 
Tumejipanga kumpiga Dodoma Fc kesho kipigo cha aibu cha goli 8 bila. Mk14 atapiga 4 peke yake! Na Kepteni John Bocco atapiga 2, halafu Chama na Sakho wataupia moja moja.
 
Lakini Mbona Sakho anaimbwa ila ajabu hajafikisha magoli hata matatu na amecheza mechi zaidi ya 10? wakati kibu majeruhi ila ana goli 4 na assist 1 japokuwa kacheza mechi chache..!
Sako international player
 
Na penati 5 kati ya 7 walizopata wamekosa, kwa kweli mwaka huu makolo ni fungu la kukosa
 
Usijali, sasa hivi mambo yameshawekwa sawa tutakuwa tunafunga magoli mengi kuanzia 3 na hata kwenye penalti kuanzia sasa mpigaji atakuwa anapiga kulia na kipa anakwenda kulia!
 
Man city katoka kumchabanga man utd goli 4 na hakuna hata moja lililofungwa na striker.

Simba inacheza total football tik tak style ,mpira wa Sir Pablo Franco unafanana sana na mpira anaofundisha Sir Pep Guardiola pale the citizen. Btw wote ni wahispania.
 
Mbona kwa kagera hatukupiga tik tak au kiwanja kilikua tatizo?
 
Back
Top Bottom