Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

Hawa Kina Mayele Hawakuiona Rivers...! Mbona Hawakuifunga...! Kumfunga Geita imekuwa Kama Mgumba Kapata Mimba Mate mji mzima..!
 
Hawa Kina Mayele Hawakuiona Rivers...! Mbona Hawakuifunga...! Kumfunga Geita imekuwa Kama Mgumba Kapata Mimba Mate mji mzima..!
Haha kama sisi wanamsimbazi tulivyogongwa viwili na waharabu
 
Cha ajabu anayeongoza league ndio anaongoza kwa kulalamika anaonewa ila nafasi ya pili hana habari kabisa ila utopolo ina matatizo sana.
 
Tulia Mulibwanji Kama Wewe Hulalalmiki Wapo Wenzio Wanalalamika Sisi Tunanunua Mechi...Sawa Kipwilo?
Tunaongea vitu kwa fact unaleta kejeli haya mmechukua league msimu huu tufanye umeshinda maana mwisho utatukana bure maana unaonekana nati zishaanza kulegea.
 
Tunaongea vitu kwa fact unaleta kejeli haya mmechukua league msimu huu tufanye umeshinda maana mwisho utatukana bure maana unaonekana nati zishaanza kulegea.
Eeh Tunaongea Fact Mr Kipwilo... Nyie Hamuwez Fanya Press Kwasababu Vithibitisho Vya Mtakayosema Hamna Sio Kama Sisi Tukileta Malalamiko Na Vithibitisho Vipo Ndo Maana Umeona Hata TTF Na Bodi Ya Ligi Wakachukua Hatua Kwa Baadhi Ya Waamuzi Na Wachezaji Pia...Sasa Mkiambiwa Mlete Uthibitisho Wa Kuwa Yanga Ananunua Mechi Mnapoteana Na Tukiwauliza Swali Dogo Tu Kama Na Ile Mechi Ya Ngao Ya Jamii Kama Mlituuzia Ndo Mnapoteana Kabisa Kabisa Kujibu
 
Ila simba hatari sana na ubovu wote huo ila kagere kapitwa goli nne tu na bado mazuzu yanaona yana team bora.
 
Eeh Tunaongea Fact Mr Kipwilo... Nyie Hamuwez Fanya Press Kwasababu Vithibitisho Vya Mtakayosema Hamna Sio Kama Sisi Tukileta Malalamiko Na Vithibitisho Vipo Ndo Maana Umeona Hata TTF Na Bodi Ya Ligi Wakachukua Hatua Kwa Baadhi Ya Waamuzi Na Wachezaji Pia...Sasa Mkiambiwa Mlete Uthibitisho Wa Kuwa Yanga Ananunua Mechi Mnapoteana Na Tukiwauliza Swali Dogo Tu Kama Na Ile Mechi Ya Ngao Ya Jamii Kama Mlituuzia Ndo Mnapoteana Kabisa Kabisa Kujibu
Wakati league inaanza team zilikuwa zinaahidiwa zikiifunga simba wanapewa mil 10 ila na yanga hakuna ahadi yoyote uliona simba wakilalamika nyie jitoeni ufahamu ila mnyama anakuja huyo.
 
Wakati league inaanza team zilikuwa zinaahidiwa zikiifunga simba wanapewa mil 10 ila na yanga hakuna ahadi yoyote uliona simba wakilalamika nyie jitoeni ufahamu ila mnyama anakuja huyo.
Kipwilo Una Ushahidi Wa Icho Unachosema? Mambo Ya Kuongea Vitu Af Mkiambiwa Mthibitishe Mnashindwa Ndo Tunapowashangaa..Af Huyo Mnyama Wako Anakuja Kutokea Wapi Akati Yanga Kila Siku Tunashinda Na Mayele Anakwenda Kambani [emoji4]
 
1646693075682.png
 
Kuna makosa yalifanyika wakati wa usajili kwa viongozi wa Simba kuacha kusajili washambuliaji wa kati. Huu ndio ukweli mchungu ambao baadhi ya mashabiki wa Simba hawataki kuukubali. Lakini wanashindwa tu kujiuliza maswali yafuatayo:-
1. Hivi kwa mikrosi ile ya Sakho, Banda, Mohamed Hussein na Kapombe iwapo Simba ingekuwa na mshambuliaji mahiri ingekuwa na magoli
mangapi na Ingekuwa nafasi ya ngapi kwenye ligi sasa hivi?
2. Vipi kwa zile "one two" za Chama na Morison iwapo Simba ingekuwa na mshambuliaji mwenye "kontroo" nzuri mguuni? Kagere hata kutuliza
mpira tu kawaida anapata shida anapoteza kwa adui au anatoa nje.
3. Je vipi iwapo Simba ingekuwa na mshambuliaji mwenye matumizi mazuri ya mipira ya juu mwenye uwezo wa kupiga vichwa mipira ikaingia
golini.
4. Je vipi iwapo Simba wangekuwa na mshambuliaji mwenye kasi na uwezo wa kuwapangu angalau tu hata mabeki wawili kwa pamoja?

Kwa ufupi tu Simba ilijisahau baada ya mafanikio ya takribani miaka minne mfululizo. Ikaimarisha ukuta wake zaidi kwa kumuleta Inonga (ambaye ni mtu na nusu) lakini walijisahau kuifanyia tathmini safu yao ya ushambuliaji. Kitendo cha msimu uliopita baadhi ya magoli kufungwa na viungo Chama na Luis na walitoa "assist " nyingi na ndio walikuwa wanaondoka basi viongozi wa Simba walitakiwa watafute mshambuliaji anayejiweza mwenyewe sio hao walionao wa kusubira tu wawekewa kwenye njia wafunge.
 
Back
Top Bottom