Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kabisa na mchawi wetu namba 1 ni Babra. nae mudi kageuka ngosweHakuna Timu Pale Kwenye Genge La Wahuni Watakuja Kushtuka Msimu Umeisha 21/22, Wametolewa Shirikisho Pamoja Na Azam Federation.
Ndio Wataanza Kumtafuta Mchawi Nani.
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
Kwahiyo unahisi mhilu na mwinuke ndio tiba yetu ya uhaba wa magoli msimbazi?Washambuliaji hawafungi hata wakipewa penalti. Ukiaangalia vizuri Simba, viungo ndio wanafunga sio washambuliaji.
Tatizo jingine kocha amekosa plan b Kama washambuliaji hawafungi , kwanini asimtengeze mhilu akawa mshambuliaji wa Kati katikati au jymyson mwanuke yeye amekariri majina. Yeye amekomaa na boko, mugalu na kagere alitegemea mabadiliko.
Wacha majinga
Hakuna Timu Pale Kwenye Genge La Wahuni Watakuja Kushtuka Msimu Umeisha 21/22, Wametolewa Shirikisho Pamoja Na Azam Federation.
Ndio Wataanza Kumtafuta Mchawi Nani.
Kwahiyo unahisi mhilu na mwinuke ndio tiba yetu ya uhaba wa magoli msimbazi?
Lakini Mbona Sakho anaimbwa ila ajabu hajafikisha magoli hata matatu na amecheza mechi zaidi ya 10? wakati kibu majeruhi ila ana goli 4 na assist 1 japokuwa kacheza mechi chache..!Sakho alikuwa majeruhi halafu sio mshambuliaji Ni kiungo pia Chama kaanza msimu mwishoni mwa raundi ya kwanza. Simba waliomuangusha ni washambuliaji wamechoka hawafungi kabisa na hawashtuki na kubadilika.
Unakumbuka tulipo jaribu kumtumia morisson kama false 9? ndicho kitakochotokea tukifanya hivyo unavyotaka..kiufupi wachezaji wetu wengine umri umekwenda yaani akili inataka mwili unakataa.S
Unapokosa mboga unakula ugali kwa chumvi, nadhani kocha angejaribu kuwatengeneza kipindi hichi Cha mpito. Fuatilia mechi zetu nyingi magoli yanfungwa na viungo. Kwanini tusimtumie mmoja Kama mshambuliaji.
Sako international playerLakini Mbona Sakho anaimbwa ila ajabu hajafikisha magoli hata matatu na amecheza mechi zaidi ya 10? wakati kibu majeruhi ila ana goli 4 na assist 1 japokuwa kacheza mechi chache..!
Mbona kwa kagera hatukupiga tik tak au kiwanja kilikua tatizo?Man city katoka kumchabanga man utd goli 4 na hakuna hata moja lililofungwa na striker.
Simba inacheza total football tik tak style ,mpira wa Sir Pablo Franco unafanana sana na mpira anaofundisha Sir Pep Guardiola pale the citizen. Btw wote ni wahispania.