Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae
5e7b187e17feb63029762948578ad0ab(1).png

5e7b187e17feb63029762948578ad0ab(1).png

Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Naomba sababu za msingi za Hizbola kushambulia Israel ikiwa kwenye nchi ya Lebanon
Huku ikijua wazi madhara yake kwa wananchi walebanon
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
 
Harakati za ukombozi zina gharama kubwa sana warusi walikufa zaidi ya million kumi hizbullah wanawaunga mkono wapalestina kwa kuwa wanapambania kukomboa ardhi zao zilotwaliwa na mazayuni
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Wakati Hamas waliposhambulia Israel na kuua raia wa Israel mamia ya wanawake na vitendo viovu , hizbola ilikemea Hamas ?

Kwanini hizbola haikwenda front kule Gaza kuisaidaia Hamas badala ya uhuni wanofanya Lebononi kusabisha Lebanon kuwa Gaza nyingine ?
 
Hezbollah siyo Hamas na Lebanon siyo Gaza. Hezbollah imewahamisha maelfu ya wakazi wa Galilaya , Koryat Shmona na Haifa na inaendelea kumwaga moto. Operation ya jeshi la ardhini ya IDF huko south Lebanon imefeli kwa siku 29 Hezbollah imepiga vifaru zaidi ya arubaini na kuwaua zaidi zaidi ya askari 90 na kujeruhi mamia ambao hawataweza kupigana Tena.
Kwa kifupi Hezbollah ndio sawa sawa yake Israel ili kubalance vita.
 
Haya hayanabudi kuwako vita haviepukiki kwanza hayo makundi lengo ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia
 
Hezbollah siyo Hamas na Lebanon siyo Gaza. Hezbollah imewahamisha maelfu ya wakazi wa Galilaya , Koryat Shmona na Haifa na inaendelea kumwaga moto. Operation ya jeshi la ardhini ya IDF huko south Lebanon imefeli kwa siku 29 Hezbollah imepiga vifaru zaidi ya arubaini na kuwaua zaidi zaidi ya askari 90 na kujeruhi mamia ambao hawataweza kupigana Tena.
Kwa kifupi Hezbollah ndio sawa sawa yake Israel ili kubalance vita.
Hata Hamas ilipambana hivyo hivyo mwanzoni lakini MWISHO Leo Gaza ni magofu
Ndo nasikitika Sana miji mizuri ya lebanoni kuwa Kama Gaza baada ya muda Fulani kwa ujinga wa magaidi
 
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.

Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.

Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Hizbolah na Hamas ni vikundi vya kigaidi. Walebanon na Wapalestina wamefanya makosa huruhusu maeneo yao kutawaliwa na magaidi. Wangeunda Serikali zao kidemokrasia tungewatetea.
 
Hezbollah siyo Hamas na Lebanon siyo Gaza. Hezbollah imewahamisha maelfu ya wakazi wa Galilaya , Koryat Shmona na Haifa na inaendelea kumwaga moto. Operation ya jeshi la ardhini ya IDF huko south Lebanon imefeli kwa siku 29 Hezbollah imepiga vifaru zaidi ya arubaini na kuwaua zaidi zaidi ya askari 90 na kujeruhi mamia ambao hawataweza kupigana Tena.
Kwa kifupi Hezbollah ndio sawa sawa yake Israel ili kubalance vita.
Mwisho wake itakuwa nini sasa?Hata ukigombana na mkoma lazima na yeye akupige hata na fimbo yake kujipooza na kipigo unachompa.
 
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Israel anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
 
Back
Top Bottom