Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Hata wafanye nini wazayuni wamesha mess up. Ile ardhi itawatesa sana mpaka waje watu wenye akili na kuona dunian hapa uwezi kupakumbatia, haki hushinda siku zote
 
Makanisani inaombewa ili iwatwange maadui zake na mafanikio yanaonekana.
1. Haniyeh kwisha.
2. Sinwar """
3. Nasrallah. Nk..
Mkiambiwa hamuna akili mnakataa kwani hao ndio walikua wanapigana na zayuni haya bada ya kufa hao mazayuni hayafyekwi huko Ghaza nyie wazayuni wa jf kwisha kabisa
 
Back
Top Bottom