Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Kwani wewe unataka kuwasaidia wenzako kama unataka kawasaidie kukomboa magaidi wao wanaoshikiliwa na hamas na hizbullah
Wenzio kila siku wanauwawa kama kuku na muisrael hajali sana kuhusu hao watu kwa taarifa yako ni shinikizo la kiraia tu lakin ukiangalia mabomu yalishushwa hapo gaza na msimamo wa israel serikali wangeshapatana.
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Jikumbushe mamilioni ya watu waliouwawa na waislam wa makundi mbalimbali kuanzia boko Haram, al qaida, al shabab, Islamic jihad, utawala wa ottoman miaka 600, Sudan mpaka leo, janjawid , East Congo, nk halafu utuambie waislam wameuwa mamilioni wangapi wasio na hatia kwa kuieneza dini kwa upanga.
 
Hiyo imekuwa justification yao ya kipuuzi ili kuua raia wasokuwa na hatia na hezbollah vita zinapiganwa mpakani lakini wao kila siku ni kupiga residential building beirut hao jamaa hawana tofauti na wanazi ni wauaji shetani akasome then mnaita taifa la mungu hilo taifa la shetani nakuhakikishia
Uzuri IDF wanaweka na ushahidi kabisa

View: https://youtu.be/ty56L8SzxCc?si=MSTLQsXwZTU3F5Ez
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Mpo pamoja hapo vikindu au
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Nyie dini yenu ina double standard sana mbona huwa hamkemei yanayotokea Sudan 🇸🇩 au waarabu kwenu ndo first class humans?
 
Naomba sababu za msingi za Hizbola kushambulia Israel ikiwa kwenye nchi ya Lebanon
Huku ikijua wazi madhara yake kwa wananchi walebanon

Wendawazimu wao na kujidanganya. Hawana uwezo wa kupambana na Israel. Na middle east, hakuna mwenye uwezo huo.
 
Nyie dini yenu ina double standard sana mbona huwa hamkemei yanayotokea Sudan 🇸🇩 au waarabu kwenu ndo first class humans?

Wengine tukiuwawa sio watu. Wao ndio watu na wamejipa jukumu la kupambana na Israel kutoka mitandaoni Tanzania 🤣🤣🤣🤣
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Lakini ndiyo wanazidi kuuawa
 
Ugaidi wa mazayuni na washirika wake hatuungi mkono, ila hamas na hizbullah sio magaidi, wanapigania ardhi yao kuwaondosha maharamia na magaidi ya kizayuni.
Waafrica weusi wenzako wanouwawa kote Africa ndiyo tunaopaswa kuwapigania. Makundi katili ya kiislam yameuwa mamilioni ya watu kuanzia west Africa, Mali, Sudan, Central Africa, Congo, Msumbiji nk. Waislam wanapenda kunywa damu za watu.
 
Ukiwapigania wewe inatosha
 
Nyie dini yenu ina double standard sana mbona huwa hamkemei yanayotokea Sudan 🇸🇩 au waarabu kwenu ndo first class humans?
Acha Sudan hata hapo congo wapo wakristo wanauwawa sana tu ila sijawahi kusikia mkipiga kelele. Wakristo tuna unafiki sana
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Aliyeanzisha huo ugomvi pale Gaza October 7 alikuwa ni nani?
 
Back
Top Bottom