kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Wenzio kila siku wanauwawa kama kuku na muisrael hajali sana kuhusu hao watu kwa taarifa yako ni shinikizo la kiraia tu lakin ukiangalia mabomu yalishushwa hapo gaza na msimamo wa israel serikali wangeshapatana.Kwani wewe unataka kuwasaidia wenzako kama unataka kawasaidie kukomboa magaidi wao wanaoshikiliwa na hamas na hizbullah