Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Sijui watu wanavuruga wapi ,kuna hawa wauza viwanja wao mwengi hawajielewi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekalia ushirikina na nguvu za Giza!Mji wa Tanga ulijengeka kwa haraka baada ya kutua mjerumani na moja ya kitu alichoacha alama kwenye mji wa Tanga ni kupanga mji kwa barabara 21. Miaka kadhaa nyuma nilifanikiwa kuishi kwenye mji huu kwa siku chache wakati huo google maps ndio inaanza kuwa maarufu nchini.
Pamoja kwamba wenyeji wa Tanga walikuwa wakarimu sana kumuelekeza mtu sehemu anayokwenda, nilipenda sana kutumia ramani ya kwenye simu, kama kitu kipo kwenye ramani hakika utafika vizuri bila kuzunguka zunguka
Miaka zaidi ya 100 sasa, pamoja na kuwa tunacho chuo cha Ardhi na kila mwaka kinatoa graduates, wengine wako nyumbani bila shughuli za kufanya wakati miji mingi mipya inaota kama uyoga nchini tena kiholela mpaka kukosekana njia za kufika.
Maeneo yanakinai kuyaona machoni hata ikitokea dharura kufika baadhi ya sehemu ni changamoto.
Yaani tunashindwa kufanya kitu wenzetu walichoweza miaka 100 iliyopita pamoja na maendeleo makubwa ya teknolojia kwenye namna na vifaa vya kufanya kazi hiyo ya kupanga mji.
Nini kimetushinda sisi waswahili kupanga miji yetu?
View attachment 2733112
Mji wa Tanga
Kujipanga ni sayansi huwezi ukaamka ukajipanga ndio njia huwa na kona konaPamoja na CCM, hivi kweli sisi tunashindwa kujipanga kabla ya ujenzi!
Shida si tu maeneo ambayo tumeshaharibu, shida kubwa zaidi hadi sasa watu wanaendelea kujenga kiholela kwenye miji mipya itakayoleta slums za siku za baadae
Katika miaka 62 ya uhuru, Nyerere katawala kwa miaka 24 tu. Miaka 38 tumekuwa na Marais wengine. Nini kimewazuia kurekebisha makosa ya Nyerere?Narudia
Matatizo yote ya Tanzania yamesababishwa na Nyerere, yule alikuwa Dikteta, hakujali maendeleo bali kuwepo madarakani
Wapangamiji WOTE wizara ya Ardhi wana mentality ya vijijini kwao.Mji wa Tanga ulijengeka kwa haraka baada ya kutua mjerumani na moja ya kitu alichoacha alama kwenye mji wa Tanga ni kupanga mji kwa barabara 21. Miaka kadhaa nyuma nilifanikiwa kuishi kwenye mji huu kwa siku chache wakati huo google maps ndio inaanza kuwa maarufu nchini.
Pamoja kwamba wenyeji wa Tanga walikuwa wakarimu sana kumuelekeza mtu sehemu anayokwenda, nilipenda sana kutumia ramani ya kwenye simu, kama kitu kipo kwenye ramani hakika utafika vizuri bila kuzunguka zunguka
Miaka zaidi ya 100 sasa, pamoja na kuwa tunacho chuo cha Ardhi na kila mwaka kinatoa graduates, wengine wako nyumbani bila shughuli za kufanya wakati miji mingi mipya inaota kama uyoga nchini tena kiholela mpaka kukosekana njia za kufika.
Maeneo yanakinai kuyaona machoni hata ikitokea dharura kufika baadhi ya sehemu ni changamoto.
Yaani tunashindwa kufanya kitu wenzetu walichoweza miaka 100 iliyopita pamoja na maendeleo makubwa ya teknolojia kwenye namna na vifaa vya kufanya kazi hiyo ya kupanga mji.
Nini kimetushinda sisi waswahili kupanga miji yetu?
View attachment 2733112
Mji wa Tanga
Aisee!!Nakazia tena!! Mwafrika hana uwezo wa kujiletea maendeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamiii nk!! Hana mark my words!! Mwafrika anapaswa kusimamia tena Kwa viboko kama walivyofanya wajerumani!!
Fikiria Leo Karne ya 21 mwafrika kufanya uchaguzi huru tuu hawezi!! Sasa unategemea ataweza nini!! Yaani Kwa kifupi sisi ni hovyo.
Kupanga miji kuna faida sana sema serikali sijui kwanini aitilii maananani!TZ ni ubinafsi ilitakiwa Majiji yote makubwa waondoe Slums, wawalipe watu watanue barabara, wawalipe watu then majiji yote 100% ardhi iwe imepimwa....Wakifanya hivyo watawatendea haki vitukuu na vilembwe wetu.
Vijiji vyote viwe tayari vimepimwa kwa 100% kusiwe na slums tena in the future, waweke fungu waache ubinafsi.
Kupanga miji kuna faida sana sema serikali sijui kwanini aitilii maananani!
Miji ya marekani ingekuwa haijapangwa biashara km amazon ingepata tabu sana kukua na kufikia hapo ilipo.