Sio jukumu la Spika kujua migomo inayoendelea tena mgomo wenyewe umetokea asubuhi na hadi sasa bado ni asubuhi. Muda mgomo unaanza yawezekana alikuwa anajiandaa kuingia bungeni.Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea?
Kuna kitu anakijua kuhusu huo mgomo anakificha?
Kwanini halipi jambo hili uzito kuacha lijadiliwe na utatuzi upatikane?
Hili suala linakwaza sana.
Kabisa yaani, wanachukulia mambo poa sana. Hawajui ni kwa kiasi gani watu wanaathirika.Hakuna waziri wala Speaker anayeweza kuelewa, wao shopping zao wanafanya Dubai na Turkey huko kariakoo ni kwa Walaumiwa/walalahoi sio kwa Waheshimiwa/walala hai
Wacha tusubiri tuone.Anasubiri barua rasmi yenye nembo ya taifa na mwenye kutoa hiyo barua wamekataa kwamba hakuna mgomo.
Baada ya hapo kipindi cha "BUNGE LIVE" kimetolewa hewani na mwanzilishi wa kuondoa hiki kipindi ndo yule yule wa "Mungu kaamua ugomvi"
Wewe ni Mbunge na Mdau wa huu Mgomo...unalalamika sana...Kwani Dar ni Kariakoo tu...Gomeni mazima na mchome kabisa Maduka na sisi Zimamoto hatutakuja
Mateka wa Sugu, amepatwa na msongo wa mawazo Jimbo linaondokašSpika kwa sasa ni mateka
Taifa halina viongozi, wote wachumia matumbo tu.Shida sanahawa viongozi wetu
Fanya na wewe uwe spika chaliiHakuna waziri wala Speaker anayeweza kuelewa, wao shopping zao wanafanya Dubai na Turkey huko kariakoo ni kwa Walaumiwa/walalahoi sio kwa Waheshimiwa/walala hai
Me nitakuwa Sound BarFanya na wewe uwe spika chalii