Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanasema akili mtu huzaliwa nazo,mimi nasema hata kama hukuzaliwa nazo unaweza ambukizwa.Imebidi nicheke, zile pesa waliteketeza Kizimkazi si wangetengeneza hapa jamani.
Ukiwaona kwenye majukwaa na full suti zao Utadhani watu kumbe ni vilaza.
Aibu sanaImebidi nicheke, zile pesa waliteketeza Kizimkazi si wangetengeneza hapa jamani.
Ukiwaona kwenye majukwaa na full suti zao Utadhani watu kumbe ni vilaza.
Cmnt ya kibabe hiiUkiishi Africa basi kuzimu hutoshindwa
Inauzwa mara ngapi ikiwa ata wananchi wenyew tupo kama hayupo unaona kinachotokea kwa wamasai wako na unit💪Acha tuuze kwanza bandari.
kwani kuna mtu wa upande ule ana chembe hata ya akili? nadhani mnanielewa waungwana. ukishaona mtu anaamini katika kufagiliwa tu ujue mmepigwaImebidi nicheke, zile pesa waliteketeza Kizimkazi si wangetengeneza hapa jamani.
Ukiwaona kwenye majukwaa na full suti zao Utadhani watu kumbe ni vilaza.
Kule matajiri na wemye pesa ni watu wa chama tu.View attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
Hehehe yaani inasikitishambona kama hospitali tangia ijengwe na sultan Seyd Said haijwahi kufanyiwa maboresho? ila hicho kiti ni balaa na umkute kakaa nesi mmoja bonge usimuongeleshe mana unaweza kujikuta unasahau ulipoingilia.
Fikiria hiyo ni hospitali ya Taifa, waziri wa afya yupo, Mkurugenzi Mkuuu Mtendaji yupo n.k.Ndio maana mwenzangu hana uaminifu na matibabu ya tz
HeheheKuna vitu vingine kutoa ya moyoni inabidi nijizuie,maana akaunti yangu permanent nimekula ban miezi kadhaa,wanasiasa wa tanzania ni wa...
Hahaaaa, mbavu zimeumia, 😄Ukiishi Africa basi kuzimu hutoshindwa