Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamwinyi wale, nchi ya kisultan
Huyu kijana wa Mkuranga alienda kusomea Usanii kule Uturuki na inaelekea amepasi vizuri sanaMajuzi Rais wao alikuwa Ujerumani anajitapa kwamba Zanzibar ya wakati ule siyo ya sasa, akawaambia diaspora warudi wajionee, sasa kama hivi ndiyo hali ilivyo baada ya rais kuboresha vipi ilikuwa kabla ya hapo