D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Sep 24, 2023 #61 Waafrika tumelaanika
Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,637 Reaction score 8,947 Sep 24, 2023 #62 Nanye Go said: Mamwinyi wale, nchi ya kisultan Click to expand... Hii nchi ni ya Mamwinyi kutoka Mkuranga
Nanye Go said: Mamwinyi wale, nchi ya kisultan Click to expand... Hii nchi ni ya Mamwinyi kutoka Mkuranga
Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,637 Reaction score 8,947 Sep 24, 2023 #63 Faana said: Majuzi Rais wao alikuwa Ujerumani anajitapa kwamba Zanzibar ya wakati ule siyo ya sasa, akawaambia diaspora warudi wajionee, sasa kama hivi ndiyo hali ilivyo baada ya rais kuboresha vipi ilikuwa kabla ya hapo Click to expand... Huyu kijana wa Mkuranga alienda kusomea Usanii kule Uturuki na inaelekea amepasi vizuri sana
Faana said: Majuzi Rais wao alikuwa Ujerumani anajitapa kwamba Zanzibar ya wakati ule siyo ya sasa, akawaambia diaspora warudi wajionee, sasa kama hivi ndiyo hali ilivyo baada ya rais kuboresha vipi ilikuwa kabla ya hapo Click to expand... Huyu kijana wa Mkuranga alienda kusomea Usanii kule Uturuki na inaelekea amepasi vizuri sana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 24, 2023 #64 Kheeee