Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
 
Hujui kama Ladies first,huenda ni previlege hiyo imeappy,Tena huenda Kwa wahusika kupenda wenyewe,ila wewe umeipatia wapi na je umehakiki taarifa Yako vyema 🤔
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Anakutana na mwanamke mwenzie
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hapo ukute wamarekani wametafakariii, wakaona ili kumwingiza kwenye laini zao ni vema akutane na mwanamke mwenzie!

Wenzetu hawafanyi kitu bora liende, nyuma yake kunatafakari kubwa kwa ajili ya taifa lao
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Labda anataka kumpa mbinu za kuachana na umakamu wa Rais na kuwa Rais kamili bila ya kusumbuka kupiga kampeni.
 
... Biden hawezi poteza muda; yuko bize na ma-monsters like Moscow, Beijing, Pyongyang, Iran, et. al wanaotishia ustawi wa dunia.
 
Wew kweli ni mpumbavu( ashak’um sio tusi) .makamu wa Rais wa Marekani ni hadhi kubwa sana tena tushukuru Rais wetu ameheshimishwa kukutana na VP wa The US. Kusema Rais wa Marekani ana hadhi sawa na Rais wa Tz au nchi yoyote duniani ni kuwa mpumbavu au mtu uliyetawaliwa na chuki! Mathalani leo hii Biden na Ramaphosa( Rais wa nchi kubwa Afrika) wakienda China hawatapata mapokezi sawa
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Kwani simmesema asionane na mabeberu, Sasa huyo Biden mnaetaka haonanenae yeye vipi sio beberu,?

Sukuma gang mmevurugwa akili,tulieni Samia arudishe mahusiano ya kimataifa ambayo mwendazake aliyavuruga mno kwa ujinga wake
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Ameomba kupiga naye picha tu, hana cha kuongea na makamu wa rais wa US. Taarabu haziimbiki kwa kingereza
 
Dikteta maguofuli hakuwai kusafiri sababu ya lugha ilikuwa haipandi
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Ah wapi ukutane na Head of state wa USA!! unahitaji kupitia mchakato wa kufikia viwango!! FBI wameona hafai!
 
Back
Top Bottom