Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Tokea lini Rais wa Marekani akakutana na Mapaka yasiyojitambua?

Kuhamasisha ufisadi👇🐒🐒🐒
View attachment 2186906
Kuhamasisha vitu vipande bei👇🐒🐒🐒
View attachment 2186907

Keshahalalisha Kila mbuzi kula kulingana na urefu wa kamba yake!! Hivi kamba ya chifu hangaya ni ndefu kiasi gani?? Wote tumeona ni ndefu Hadi Marekani!! Hapo wenye kamba fupi Kama walimu ndiyo basi téna!
 
Hapo ukute wamarekani wametafakariii, wakaona ili kumwingiza kwenye laini zao ni vema akutane na mwanamke mwenzie!

Wenzetu hawafanyi kitu bora liende, nyuma yake kunatafakari kubwa kwa ajili ya taifa lao
Upumbavu huu wa kujadili jinsia na ukabila unaliangamiza Taifa.
 
Dikteta maguofuli hakuwai kusafiri sababu ya lugha ilikuwa haipandi
Si sababu ya lugha!! Ni sababu ya uzalendo!! Kama ni lugha si angeenda na mkalimani!! Hivi thesis yake ya PhD aliandika kwa kisukuma au? Alii-defend kwa kisukuma au?
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hata hivyo wamemheshimu sana ilitakiwa akutane na waziri tu
 
Usimfananishe Biden na watu wa ajabu, kwahy Biden yuko level moja na huyo mama yenu.?
Mama yenu anaadhimisha miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado anaongelea ukosefu wa maji wakati mwenzake anazungumzia kutia vikwazo kwenye nchi nyingine.
 
sababu kubwa america hatujamsaport vita ya ukraine alitaka tumuunge mkono na tupige kura ya kumkataa mrusi hatukufanya hivyo. pili na hisi mama safari yake haikuwa rasmi ya kiserikali kapenda kupiga misele mwenyewe
 
Mbona Maguful alikuwa anamtuma Makamu wake kwenda kwenye vikao vya Wakuu wa Nchi?.
Hapo sasa,Taifa hili limejaa wajinga wengi muda wote wa utawala wa Magufuri aliyekuwa anawakilisha Taifa alikuwa Makamu wa Rais au Waziri wa Mambo ya nje ya nchi.
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Unataka kusema akatae?
 
kwani kilichompeleka huko hasa nini?
 
Keshahalalisha Kila mbuzi kula kulingana na urefu wa kamba yake!! Hivi kamba ya chifu hangaya ni ndefu kiasi gani?? Wote tumeona ni ndefu Hadi Marekani!! Hapo wenye kamba fupi Kama walimu ndiyo basi téna!
Amejitengenezea kamba ndefu inayomuwezesha kuzunguka nchi nzima😁😁😁😁
AQqAOV.jpeg
GRMe.jpeg
 
Bado hata angekutana na Biden tungesema neno, yote kheri tu, lets think positive..
 
Ki vyeo rais wa tz mikubwa..ila kwakua usa na tz ni mbingu na ardhi..hivyo hangaya ni kama mkuu wa mkoa tu akiwa usa.

#MaendeleoHayanaChama
... umenikumbusha mambo ya diplomasia; kidiplomasia King Mswati ana hadhi kubwa kuliko US president au rais/waziri mkuu yeyote wa nchi duniani humu. Anazidiwa na baadhi ya malkia/wafalme wenzie tu.
 

Kamala Harris to Meet Tanzanian President as Hassan Courts Investors​


Apr 13, 2022 • Last Updated 14 hours ago • 1 minute read
(Bloomberg) — Tanzania’s president will meet with Vice President Kamala Harris Friday in Washington during a U.S. trip focused on business investments, according to Biden administration officials.

Samia Suluhu Hassan, the only female head of government in Africa, will talk with Harris at the White House about economic and commercial partnerships, global health issues, and other matters, the officials said.

Hassan, who was elevated from vice president when John Magufuli died in March of 2021, has signaled a new business-friendly era, pledging to reverse her predecessor’s policies that antagonized foreign investors.

Tanzania expects investments of about $40 billion in its liquefied natural gas project as the world rushes for new sources of the fuel to reduce reliance on Russian energy. Hassan has also expressed a desire to clinch deals to build ports, power plants, railroads, and coal and iron ore mines.

The Biden administration has been seeking to show it’s not ignoring Africa. Harris met with Ghana’s president, Nana Akufo-Addo, and Zambia’s president, Hakainde Hichilema, at the White House in September

Source : US VP Kamala Harris to meet with Tanzania President - EconoTimes
Wow,detailed
 
Biden apoteze muda kwa akili ya Tz ya Leo labda ingekua ya rais kikwete mama anakwepa katiba na mbowe atakua alipigilia msumari juzi hapa kwa balozi wao


Waziri wizara ya Mambo nje abadilishwe kapwaya
 
Back
Top Bottom