inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kuongea kunahitaji muda mfupi zaidi kuliko kuandika,thesis unalipa muda wa kutosha kupanga maneno,mwamba hakua smart upstairs kuweza kukaa na elites meza moja wakajadili Mambo,hakua hata na uwezo wa kuongea na hadharaSi sababu ya lugha!! Ni sababu ya uzalendo!! Kama ni lugha si angeenda na mkalimani!! Hivi thesis yake ya PhD aliandika kwa kisukuma au? Alii-defend kwa kisukuma au?