Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Ilishanenwa watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
Umekariri ndio maana unaongea kama mwendawazimu...

Mtu akiongea kitu think, hata dk moja ndio ujibu. Sio ukisikia kitu tu unapanua mdomo.
Mwendazake ana mawakala,wewe ukiwa mmojawapo
 
Habari za hapo Bujumbura Mkuu, sasa wewe hauoni kama inflation imekuwa ni global issue? leo U.S.A anatoa akiba yake ya mafuta ku cover gap na bado anataka atoe ngano ili ku feed Africa kwako wewe hauoni kama hii ni global issue?
Wapi nimesema kuwa inflation siyo global issue?!

Kwani kwa Marais hawa inflation kwao siyo global issue?👇🐒🐒🐒
7UID.jpeg
IMG_20220402_184504_432.jpg
IMG_20220404_100611_745.jpg
AARD4K.jpeg
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
We mpungukiwa ebu tuambie, ilikuwaje na hawa wakutane na VP.

"The US Vice President, Harris met with Ghana’s president, Nana Akufo-Addo, and Zambia’s president, Hakainde Hichilema, at the White House in September"
 
Ukiwa chairman and CEO wa kampuni yako huko mtwara halafu ukapata nafasi ya kupata meeting na Metl usitegemee utapewa Mo uongee nae
Watakupa tu mtu yeyote hata wa chin yeye ndo atapresent kwa wakubwa
Pia ndugu zangu tujifunze kujitambua sisi ni kina nani na nafasi zetu ni zipi kwenye jamaa
Hata ukienda kwenye kikao cha familia licha ya kuwa wote ni wanaume sio kweli wote mtapewa treat sawa huwa inatokea na inabidi ukubali na ufanye kazi kwa bidii
 
Jua tu Tz ipo ulimwengu wa tatu kiuchumi, hata hivyo kapewa heshima kwani angekutana tu na waziri.
 
Kila mtu ana namna ya kusolve matatizo na sio kuigana anaweza kusolve kwa kudecrease tax kwenye necessity goods Mkuu.
Sisi Tanzania tofauti na Rais kuhamasisha kila kitu kipande bei na waziri husika kudai kuwa kama kuna Mtanzania ambae anajua jinsi ya kuleta mafuta ya bei nafuu nchini apeleke taarifa Serikalini, hakuna njia ambayo ni sustainable ya kutatua tatizo hili ambayo Serikali imeitangaza na ndiyo maana kila siku huwa nasema hapa kuwa tunaongozwa na Mapaka.
20220414143250.jpg
 
Sisi Tanzania tofauti na kutangaziwa kuwa kila kitu kitapanda bei na waziri husika kudai kuwa kama kuna Mtanzania ambae anajua jinsi ya kuleta mafuta ya bei nafuu nchini apeleke taarifa Serikalini, hakuna njia ambayo ni sustainable ya kutatua tatizo hili ambayo Serikali imeitangaza na ndiyo maana kila siku huwa nasema hapa kuwa tunaongozwa na Mapaka.
View attachment 2187236View attachment 2187237
Change your attitude Mkuu sometimes it's better to look at things from all angles. Stop being NEGATIVE all the time, that attitude will consume YOU.
 
Kweli mambo yamebadilika. Nyerere alikuwa anakutana na Rais mwenzake. Naona waafrika sasa hivi wanaonana na mweusi mwenzao.

Amandla...
Kipindi kile ni sababu ya vita baridi kati ya Marekani na Urusi, Sasa hivi Marekani hawana cha kupoteza, Hata Malkia Elizabeth aliitembelea Tanzania mwaka 1978.
 
Huko lazima wajadili "haki za kibinadamu", na Kamala alivyo wa moto Samia ajiandae.
 
Unaweza kutoa maoni yako bila kukashisfu, Rais wa Jamhuri ya Muungano sio Paka, umekosea sana bwana mdogo
Huyu siyo Rais wa jamhuri.Uliona wapi Rais wa jamhuri anahamasisha ufisadi katika Taifa?!Unakosea sana bwana mdogo
 
Change your attitude Mkuu sometimes it's better to look at things from all angles. Stop being NEGATIVE all the time, that attitude will consume YOU.
Anaepaswa kuchange attitude ni Rais ambae anahamasisha vitu kupanda bei na kuhamasisha ufisadi katika Taifa.

 
Back
Top Bottom