Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hujui kama Ladies first,huenda ni previlege hiyo imeappy,Tena huenda Kwa wahusika kupenda wenyewe,ila wewe umeipatia wapi na je umehakiki taarifa Yako vyema 🤔Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Anakutana na mwanamke mwenzieDuru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Hapo ukute wamarekani wametafakariii, wakaona ili kumwingiza kwenye laini zao ni vema akutane na mwanamke mwenzie!Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hapo ukute wamarekani wametafakariii, wakaona ili kumwingiza kwenye laini zao ni vema akutane na mwanamke mwenzie!
Wenzetu hawafanyi kitu bora liende, nyuma yake kunatafakari kubwa kwa ajili ya taifa lao
Labda anataka kumpa mbinu za kuachana na umakamu wa Rais na kuwa Rais kamili bila ya kusumbuka kupiga kampeni.Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Kwani simmesema asionane na mabeberu, Sasa huyo Biden mnaetaka haonanenae yeye vipi sio beberu,?Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Ameomba kupiga naye picha tu, hana cha kuongea na makamu wa rais wa US. Taarabu haziimbiki kwa kingerezaDuru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!
Wamevurugwa Hawa kenge!!Na nyie sukuma gang kmmamayo .. hivi hamna jema!!!??
Dikteta maguofuli hakuwai kusafiri sababu ya lugha ilikuwa haipandiAmeomba kupiga naye picha tu, hana cha kuongea na makamu wa rais wa US. Taarabu haziimbiki kwa kingereza
Ah wapi ukutane na Head of state wa USA!! unahitaji kupitia mchakato wa kufikia viwango!! FBI wameona hafai!Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.